- Thread starter
- #101
Tunaweza kuwa wa mwisho lakini naamini iko siku mabadiliko yatafika tu.
1. Hata kuku dhidi ya mwewe kuhusiana na vifaranga vyake, imani yake ni hiyo hiyo.
2. Alisikika majuzi Tshisekedi akisema hivyo hivyo kuhusiana na matatizo ya nchi yake dhidi ya utawala wa Rwanda.
3. Kwa hakika ni hatua ya juu kabisa ya kukata tamaa.
4. Bila shaka hata CCM hufarijika sana wazisikiapo kauli kama hizi kutokea kwetu.