B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 27, 2024 Thread starter #101 denoo JG said: Tunaweza kuwa wa mwisho lakini naamini iko siku mabadiliko yatafika tu. Click to expand... 1. Hata kuku dhidi ya mwewe kuhusiana na vifaranga vyake, imani yake ni hiyo hiyo. 2. Alisikika majuzi Tshisekedi akisema hivyo hivyo kuhusiana na matatizo ya nchi yake dhidi ya utawala wa Rwanda. 3. Kwa hakika ni hatua ya juu kabisa ya kukata tamaa. 4. Bila shaka hata CCM hufarijika sana wazisikiapo kauli kama hizi kutokea kwetu.
denoo JG said: Tunaweza kuwa wa mwisho lakini naamini iko siku mabadiliko yatafika tu. Click to expand... 1. Hata kuku dhidi ya mwewe kuhusiana na vifaranga vyake, imani yake ni hiyo hiyo. 2. Alisikika majuzi Tshisekedi akisema hivyo hivyo kuhusiana na matatizo ya nchi yake dhidi ya utawala wa Rwanda. 3. Kwa hakika ni hatua ya juu kabisa ya kukata tamaa. 4. Bila shaka hata CCM hufarijika sana wazisikiapo kauli kama hizi kutokea kwetu.