Uchaguzi 2020 Urais wa CHADEMA moto: Kampeni zaanza kwa kishindo, Msigwa na Lissu hapatoshi !

Hakuna takataka yeyote toka chagadomo anae weza kumshinda magufuli, haiwezekani na haitotokea mtakachofanya ni kuonekana na nyie mmesimashisha mgombea tu. Kina lisu mbowe na takataka nyengine wataitwa wapinzani mpaka watazeeka na kufa
 
Mbowe kama anawaangalia vile mnavyojichetua chetu...muda ukifika anatoa mgombea wake mfukoni na mikono tutazungusha kama kawaida.
 
Mwisho vyote vinakuwa kazi bure.
JPM again 2020-2025.
Hii ngoma ingekuwa tamu sana mwisho wa siku kama mgombea wa CCM angekuwa Makamu mwenyekiti wao Bwana Philip Mangula na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bwana Tundu Lissu.
Na mabango yao mitaani yangependeza sana na kufahamisha umma ni watu wa aina gani hata kabla ya kuongea. [emoji3][emoji3]
 
Sasa mkuu hiyo kichwa box ya miga ndio uipeleke mtaani,hata kura za wendawazimu wenzie wa milembe apati.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili bango kaandika msigwa mwenyewe au maana hata kingereza hajui,chadema mko low sana maana elimu zenu wote hazijulikani,nizakuunga unga kwa super glue tu

Hapa alitakiwa aandike msigwa for presidency sio msigwa for President, ni bora kutumia lugha ya taifa kuliko kujiaibisha namna hii

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 

Atagombea urais wa nchi gani, ubelgiji? Au atakuwa anagombea huko Kenya?
 
Una matatizo wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…