Urusi ni nchi ya kijamaa? Mbona ina vyama vingi (Multipartism) tofauti na China??

Wanalinda "ideologies" zao....

Mimi ni nani nizione hazifai na kuwapendekezea ninazoona bora ?!!

Heshima kwa wengine pia ni kuwaheshimu jinsi wanavyoiishi mienendo yao.....
 
Unamsema Michael Gorbachev nini?
Umeitaja Finland nimeshituka!
Kwani nayo ilikuwa kwenye muungano wa Kisoviet?
 
Mzee nani?
 
Mikael Gobarchov
 
Putin aliuzuria kifo cha Gorbachev
 
China vyama vingi vipo nani alikuambia hakuna vyama vingi au kwa sababu CPC imetawala toka uhuru wa China mpaka leo mpaka kesho na kesho kama CCM ?
 
 U

Usaliti kwa nchi hauvumiliki mkuu...
Gorbachev hakuwa msaliti wakomunisti wanasiasa za kipuuzi hata mimi ningekuwa Gorbachev ningefanya tu reforms kufanikiwa au kutokufanikiwa kwake hilo jambo lingine.

Hata Ndugu yako Nyerere mambo yalipo mshinda mwinyi alikuja kufanya reforms kwenye mambo kadhaa
 
Huu ndio uwajibikaji unaotakiwa hata nchini kwetu
 
Kuna ka clip nilikaona ka nchi moja ya kikomunisti sijui kijamaa,kwanza lazima uwe na picha ya kiongozi wao aliefariki.Sasa wewe jifanye hamnazo usiwe nayo au uwe nayo halafu polisi waje waikute ina vumbi.Aisee wewe andaaa matako yako utacharazwa mikwaju mpaka utasema ni nini hiki asee.Yaani huko watu wakiamka kabla ya kupiga mswaki ni kuhakikisha hiyo picha ipo na haina vumbi.Na mapolisi wanakagua kila siku tena ghafla huku wakiwa na mijeledi.
 
USSR ndo Ilikua inafuata siasa za kijama a but ilivyo sambaratika kila mtu akachukue mlengo wake thus Russia wakaopt ubepariwakabinafsisha viwanda na mashirika ya umma na ndio aki a Abrommovic na Akina Putin wakatajirikia hapo
 
Upinzani unaouna urusi,
Ni upinzani uchwara ili kuisaidia urusi ili kukidhi matakwa ya UMOJA WA MATAIFA
Mbona China na North Korea hawakidhi hayo matakwa ya UN na bado ni wajamaa?? Au unazungumzia Russia ile ya Afrika Mashariki??
 
Watu wengi wamelishwa propaganda kuwa China ni nchi ya chama kimoja na wanadhani bunge la China lina chama kimoja tu kile cha Kikomunisti au Chinese Cmmunist Part (CCP)

Hiyo siyo kweli kwani China daima imekuwa nchi ya vyama vingi. Na bunge lake ni la vyama vingi. Baadhi ya vyama vilivyopo china na vyenye wabunge ni











 
China vyama vingi vipo nani alikuambia hakuna vyama vingi au kwa sababu CPC imetawala toka uhuru wa China mpaka leo mpaka kesho na kesho kama CCM ?
Presidential election ya China imekaaje mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…