Urusi ni nchi ya kijamaa? Mbona ina vyama vingi (Multipartism) tofauti na China??

Ni Rais yupi mjamaa ambaye hakuwahi kuwa dictator?? Castro?? Stalin??
 
Ninakubaliana na wewe kwa kiasi kidogo sana ya kwamba "there's nothing called pure democracy" hata Marekani kuna elements kidogo mnoo za udikteta.

Hata nchi za kidikteta kuna elements kidogo za demkrasia kwa maana kwamba licha ya kuwa wana chama kimoja, bado watu wanapiga kura kuchagua wabunge na madiwani.
 
Ndiyo maana nikakuambia hayo maneno ya ujamaa na ubepari hayana uhusiano na udicteta au democracy ni vitu tofauti kabisa hata serikali ya kifalme inaweza kuwa ya kijamaa au ya kibepari ...ubepari ni kujijari mwenyewe au wenyewe dhidi ya wengine ....ubepari ni ubinafsi
 
Ndiye huyo; Mzee wa 'Perestoika and Glasnost'....maana yake alileta mageuzi ya kiuchumi, kisiasa na kuhimiza uwazi na ukweli katika taasisi za serikali.
Good
 
Ujamaa haina uhusiano na vyama
 
For what purpose!!!
 
Wewe ni zuzu hata elimu ya udicteta inaeleza vizuri aina mbili za madicteta...kutawala kwa nguvu kuko kwa aina mbili ni kama jambazi na polisi... polisi anaweza kutumia nguvu ila kwa ajili ya haki na jambazi utumia nguvu dhidi ya haki...na udicteta ni hivyo hivyo upo wa haki na usio wa haki hata tawala za kifalme zipo za haki na zipo zisizo za haki .
 
Aliyekuwa Mjamaa ni USSR na sio Russia.
 
Mikael Gorbachev na perestroika
 
Nchini Marekani, kura za wananchi haziamui kwa 100% Ni nani atakua Raisi WA nchi
 
Hivi trump sio nationalist kweli yule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…