Tuliwaambia mara nyingi, Vita itamaliziwa kwenye ardhi ya Urusi, walituogesha matusi wakiongozwa na gaidi SikirimimimasikiniWadau mlikua mnawasifia sana wagner🤣🤣🤣😂😂 Mbona putn wanamnyima usingizi jana na leo????
Mkuu unajichanganya sana habari zako. Moscow iko chini ya Wagner toka lini?
Ristov ni sahihi... wegner wanamiji miwili mpaka mchana huu na wanaelekea moscowMkuu unajichanganya sana habari zako. Moscow iko chini ya Wagner toka lini?
Mkuu njoo huku @ Sikirimimimasikini @ MakinikiATuliwaambia mara nyingi, Vita itamaliziwa kwenye ardhi ya Urusi, walituogesha matusi wakiongozwa na gaidi Sikirimimimasikini
MakinikiA na ma Ostadh wa mchongo wa humu
Poa tukubaliane kutokubaliana.Mkuu wewe ndio upo brain washed umepandikizwa chuki za kitoto dhidi ya wayahudi...
Walipo wanarusha mawe kwa tv wakiona Wegner wanavyojambisha boss wao😂Mkuu njoo huku @ Sikirimimimasikini @ MakinikiA
Kwa hali halisi ilivyo nchini Urussi hivi sasa, Wagner PMC wanaweza wakapindua utawala wa Putin, uwezo huu wanao kabisa. Kumbuka, hata Ukraine na NATO, hususani utawala wa Marekani na Uingereza wanaweza wakawatumia Wagner PMC katika mission ya kuzima vita ya Urussi nchini Ukraine pamoja na kuudhoofisha utawala wa Putin. Aidha, Wagner PMC wanaweza kupata msaada wa kijeshi kutoka Ukraine na Nato (In short, DEVIL'S ADVOCATE THEORY itafanya kazi yake hapa).Eti wanaweza kuchukua nchi ya Urusi, we umerogwa.
Ila ukweli waga haujifichi mkuu,,,usijali jirani nimekuelewa...Lakini vp kuhusu wagner lengo lao ni nn hasa???Poa tukubaliane kutokubaliana.
Unachochanganya ni kuwa this is not about holding cities.Ristov ni sahihi... wegner wanamiji miwili mpaka mchana huu na wanaelekea moscow
Wana Miji 3 mikubwa kuliko nusu ya ardhi yote ya Ukraine.Ristov ni sahihi... wegner wanamiji miwili mpaka mchana huu na wanaelekea moscow
Mpaka sasa hivi wamesharudisha eneo gani?Wapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE.
Huu Uzi nitatoa update ya kila kinachoendelea.
=====
Update: Maafisa wa Ukraine wasema watatumia 'mapinduzi ya kijeshi' nchini Urusi kurejesha eneo lililochukuliwa
Katika tishio moja kwa moja kwa mamlaka ya Putin, Yevgeny Prigozhin, kiongozi wa Wagner, aliishutumu jeshi la Moscow kwa kupiga bomu askari wake na kudhibiti jiji muhimu la Urusi mapema asubuhi.
Kiongozi huyo mwenye msimamo mkali wa jeshi binafsi maarufu zaidi ulimwenguni aliahidi kwenda kwenye mji mkuu kwa kulipiza kisasi.
Katika hotuba isiyokuwa ya kawaida, Bwana Putin alilitaja tukio hilo kuwa "uhaini" na akasema wale wanaounga mkono vitisho na njia za kigaidi watapata adhabu isiyoweza kuepukika.
Rais wa Ukraine, Zelensky, alivunja ukimya na kusema kuwa hii ni mfano mwingine wa "udhaifu kamili wa Urusi".
=====
Mamlaka katika eneo la Lipetsk nchini Urusi waagiza watu kubaki nyumbani
Mamlaka katika eneo la Lipetsk nchini Urusi walitoa wito kwa watu kubaki ndani ya nyumba zao kwa sababu za usalama.
Walitoa onyo hilo kutokana na ripoti kuwa wapiganaji wa Wagner walikuwa wakitumia eneo hilo wakati wa safari yao kuelekea Moscow.
=====
Wagner wateka makao makuu ya jeshi la Urusi ukanda wa Kusini
Gavana wa Voronezh, nchini Urusi alisema Jumamosi kuwa huduma za dharura zilikuwa zikijaribu kuzima tanki la mafuta linalowaka katika kituo cha mafuta.
Zaidi ya askari zimamoto 100 na vifaa 30 vya kuzimia moto walikuwa wakifanyia kazi katika eneo hilo, alisema Gavana Alexander Gusev kupitia Telegram.
Awali Jumamosi, chanzo cha usalama nchini Urusi kiliiambia Reuters kuwa wapiganaji wa Wagner walidhibiti vituo vya kijeshi katika jiji la Voronezh, umbali wa kilomita 500 (maili 310) kusini mwa Moscow. Reuters hawakuweza kuthibitisha madai hayo.
=====
NDEGE YA RAIS YADAIWA KUONDOKA MOSCOW, WAGNER WAKIDAIWA KUKARIBIA MJI
Inadaiwa Wapiganaji wa Wagner wameendelea na mapambano na sasa wamefika katika Mkoa wa #Lipetsk, takriban Kilometa 450 kutoka Moscow
Aidha, inaelezwa kuwa Ndege za Kivita za Urusi zimeshambulia misafara ya Wapiganaji wa #Wagner na tayari Wanajeshi wameshajipanga katika nafasi za kuulinda Mji Mkuu, Moscow
Kiongozi wa Wagner, Yevgeny #Prigozhin amedai kuwa Wapiganaji wake wamepokelewa kama 'Wakombozi' na kuwa waliweza kuchukua Makao Makuu ya Kijeshi huko #Rostov bila mapigano
Katika hatua nyingine, imeelezwa kuwa Ndege ya Rais imeonekana kuondoka #Moscow, hata hivyo Ikulu imedai kuwa Rais #Putin bado yupo katika Mji Mkuu huo
Link ya Ukristo na waisrael wa Leo ni ipi?Utakuwa Mkristo hewa
Wanaonja radha ya vitaRaia zaidi ya 600 wa Urusi wamepanga foreni kwenye vituo vya treni wakitaka kuukimbia mji wa Rostov uliopo chini ya utawala wa Wagner. View attachment 2667557
Kwanini msafara umekwama mkuu? Sio kwamba wanakimbia kifo?Msafara wa wapiganaji wa chechen umekwama kuingia katika mji wa Rostov uliopo chini ya Ulinzi wa Wapiganaji wa Wagner.
Ziba mdomo wako mkuu, kuwa na akiba ya maneno.Mnachekesha mpaka mnakera sasa,tunatamani kukaa kimya tunashindwa
Yaani Putin aokotwe kama Ghadaf? Unazungumzia Russia we mjinga
Yuko kwenye bunker kama mbewa bukuSipati picha putin hali aliyokuanayo currently huko mjengoni.
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Hatari sana mzeeMsafara wa wapiganaji wa chechen umekwama kuingia katika mji wa Rostov uliopo chini ya Ulinzi wa Wapiganaji wa WagnerView attachment 2667534
Link ipo mkuu ukrsto upo ndani ya uyahudi sababu umetokana na uyahudi havitengani.Na hakuna waisrael wa leo hizo ni propaganda za waarabu kutaka kusema kua leo hii pale israel wale sio vizazi vya wayahudi...Wayahudi ni wale wale miaka yote popote pale walipo duniani.....Ni sawa na kuuliza link ya farao wa misri wa wanubi na wakushi wa ethiopia kabla ya uvamizi wa waarabu maeneo ya mto nile...Baadae wakasema mafarao walikua waarabuLink ya Ukristo na waisrael wa Leo ni ipi?
Mpaka sasa hivi wamesharudisha eneo gani?
Huo muda wa Russia kupigana kumaliza then kuja kuipiga Ukraine wanautoa wapi. Unakumbuka October revolution ya 1917, Russia ilipojitoa WW1 baada ya kupigwa na Bolsheviks walipochukua nchi hawakuendelea na vita tena. Walitumia muda wao kupigana wenyewe kwa wenyewe, kupigana na remnants za serikali iliyopita na kujiimarisha utawala wao.Kama kuna support Wagner watapata basi ni kutoka Russian nationalists ( who are more hostile towards Ukraine).
Hakuna happy ending Upande wa Ukraine.
Mkuu upewe maua yako, unatoa updates kwa video kabisa. Source yako ni ipi? Naona kama nachelewa kupata updates za huu mtanange.Wanajeshi zaidi ya laki 4 wa Urusi wameweka vizuizi 1800 katika barabara inayoelekea mji wa Moscow. Kila kizuizi kimoja kina wanajeshi zaidi ya 300 wa Urusi ili kuwazuia wapiganaji wa Wagner kufika Moscow. View attachment 2667541