Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Sio hao tu nasikia General surkovin na mkuu wa vikosi vya anga wa Urusi wako upande wa prigo(Wagner)
Kwenye vita kikosi cha anga ndicho hupoteza Askari wengi hasa Jeshi la ardhini likiwa bovu

Mafanikio ya jeshi la anga hutegemea hasa uwezo wa jeshi la ardhini la kutungua makombora yatokayo ardhini kwenda angani ya surface to Air Missiles nk

Urusi imeonyesha udhaifu mkubwa sana Kwenye vita angani hapo ndipo ubabe wa Eagle Mmarekani unaingia .Bendera ya Marekani ina ndege Eagle Nembo ya ndege mbabe angani. VITA angani hakuna mbabe hapa duniani kama Mmarekani

Kutokana na Udhaifu wa Jeshi la Russia angani, unaosababishwa hasa na vikosi dhaifu vya ardhini kamanda wa Jeshi la anga la Urusi yuko sahihi Kakataa kuwa mbuzi wa kafara yeye na wapiganaji walio chini yake Askari wa vikosi vya angani
 
Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Urusi limeanza kuharibu barabara zote zinazoelekea mji wa Moscow. Tingatinga zinachimba mashimo makubwa kwenye barabara hizo ili kuzuia vifaru na silaha nzito za Wagner kufika Moscow. View attachment 2667542
Sasa si wanakwamisha hata shughuli zingine? Vipi raia huko Moscow hawakimbii?
 
Ila ukweli waga haujifichi mkuu,,,usijali jirani nimekuelewa...Lakini vp kuhusu wagner lengo lao ni nn hasa???
Usijipendekeze kwa Wayahudi wanawachukia wakristo.
Mwezi wa kwanza mpaka mwezi wa tatu kulikuwa na mpango wa kupitisha sheria ya Kuwafunga wakristo watakao waconvert jews into christianity.

Kuhusu Wagner.
Shida ilianzia Bahmut, Prizoghin anaamini walihujumiwa na waziri wa Ulinzi na wizara yake hivyo anataka Justice.
Japo inasemekana chanzo ni Wizara kutangaza Kuwa all Volunteers watasaini mkataba moja kwa moja na MOD sio prizoghn tena.
 
Ha ha ha ha ha ha vita imeenda kuwa tamu saana mkuu. Na wale askari wa wagner waliopo Ukraine wanarudi russia kupambana. Sasa sijui SMO itaendeshwa na nani, kweli counter Offensive imekuwa ya akili zaidi badala ya nguvu.
Hapo ulipomalizia sasa "kweli counter offensive imekuwa ya AKILI zaidi badala ya nguvu". Mkuu hiyo ndiyo tofauti kati ya kupigana na mzungu na mwarabu.
 
Mkuu dini za wakrsto zimetokana na dini za wayahudi......Utasemaje uyahudi umefanana na uislamu wakati uislamu umekopi kwa wayahudi na wakrsto....Ila waislamu hasa wenye chuki dhidi ya wayahudi waga wanajitahidi kusema wayahudi hawawapendi wakrsto wakati ukrsto umetokana na uyahudi
 
Uhaini ni kosa baya sana. Jamaa wameoa liwa na liwe .. wata disturb kwa mda ila hawana mwisho mzuri
Pia huo ndio utakuwa mwisho wa Wegnar ambapo itamlazimu Urusi kuwatoa wanajeshi wake kwenda kupigana Ukrain kitu ambacho Putin alikuwa hataki.

Yani hii hali ya leo imekaa vibaya sana kwa Putin.

Toka mwanzo nilikuwa nasema hii vita ni faida tupu kwa USA na washikrika wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…