WoyoooooChechens wamejisalimisha bila kurusha risasi.
Wagner wanakaribia ingia Urusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WoyoooooChechens wamejisalimisha bila kurusha risasi.
Wagner wanakaribia ingia Urusi
Mkuu vp si ulikua unawasifia wagner🤣🤣🤣🤣Tunasubiri mrudishe mji hata mmoja tu
Kwenye vita kikosi cha anga ndicho hupoteza Askari wengi hasa Jeshi la ardhini likiwa bovuSio hao tu nasikia General surkovin na mkuu wa vikosi vya anga wa Urusi wako upande wa prigo(Wagner)
Sasa si wanakwamisha hata shughuli zingine? Vipi raia huko Moscow hawakimbii?Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Urusi limeanza kuharibu barabara zote zinazoelekea mji wa Moscow. Tingatinga zinachimba mashimo makubwa kwenye barabara hizo ili kuzuia vifaru na silaha nzito za Wagner kufika Moscow. View attachment 2667542
Umeota hivyo? Kila mmoja akileta anachoota hapa JF, si itakuwa vurugu?Ndani ya masaa 24 kila kitu kitakwisha na Russia itaendelea kuchukua maeneo Ukraine.
Usijipendekeze kwa Wayahudi wanawachukia wakristo.Ila ukweli waga haujifichi mkuu,,,usijali jirani nimekuelewa...Lakini vp kuhusu wagner lengo lao ni nn hasa???
Wanajeshi wa Urusi walikuwa wanqgoma kwenda kupigana huko Ukrainwamewekwa.akiba.endapo.suala.litaingiliwa.na.majeshi.ya
NATO.na.kuwa.vita.rasmi
Putin's chef walifikia kumuitaKama ni kweli,hawezi chomoka. MAANA Prigo anamjua Putin kuliko mtu yeyote yule.Unless Prigo auwawe.
Ninaamini kabisa mpaka kufikia saa 6 usiku au saa 7 mambo yatakuwa moto zaidi hapa JF. Na usikute ni plan yao kuingia hapo ndani Moscow usiku.BREAKING NEWS
Wapiganaji wa Wagner wamefanikiwa kuingia viunga vya jimbo la Moscow. Imebaki masaa 2 wafike ndani ya jiji la Moscow. View attachment 2667544
Hapo ulipomalizia sasa "kweli counter offensive imekuwa ya AKILI zaidi badala ya nguvu". Mkuu hiyo ndiyo tofauti kati ya kupigana na mzungu na mwarabu.Ha ha ha ha ha ha vita imeenda kuwa tamu saana mkuu. Na wale askari wa wagner waliopo Ukraine wanarudi russia kupambana. Sasa sijui SMO itaendeshwa na nani, kweli counter Offensive imekuwa ya akili zaidi badala ya nguvu.
Mkuu hizi habar za kweli?Wapiganaji wa Brigade ya anga 217 ya jeshi la Urusi wametangaza kuwa upande wa wapiganaji wa Wagner dhidi ya jeshi la Urusi.
Ubabe wao ni kwa Ukraine tu. Tarehe 26.6 ulete mrejesho kama wata tema mate Moscow.Mkuu vp si ulikua unawasifia wagner[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu dini za wakrsto zimetokana na dini za wayahudi......Utasemaje uyahudi umefanana na uislamu wakati uislamu umekopi kwa wayahudi na wakrsto....Ila waislamu hasa wenye chuki dhidi ya wayahudi waga wanajitahidi kusema wayahudi hawawapendi wakrsto wakati ukrsto umetokana na uyahudiUsijipendekeze kwa Wayahudi wanawachukia wakristo.
Mwezi wa kwanza mpaka mwezi wa tatu kulikuwa na mpango wa kupitisha sheria ya Kuwafunga wakristo watakao waconvert jews into christianity.
Kuhusu Wagner.
Shida ilianzia Bahmut, Prizoghin anaamini walihujumiwa na waziri wa Ulinzi na wizara yake hivyo anataka Justice.
Japo inasemekana chanzo ni Wizara kutangaza Kuwa all Volunteers watasaini mkataba moja kwa moja na MOD sio prizoghn tena.
Pia huo ndio utakuwa mwisho wa Wegnar ambapo itamlazimu Urusi kuwatoa wanajeshi wake kwenda kupigana Ukrain kitu ambacho Putin alikuwa hataki.Uhaini ni kosa baya sana. Jamaa wameoa liwa na liwe .. wata disturb kwa mda ila hawana mwisho mzuri
Kama mchungaji mackenzKwenye Ujasusi kuna watu hatari sana ambao kazi yao ni kuzigeuza akili za watu tu. Ogopa sana hao watu.
Sijui kwanini mpaka sasa hawawaungi mkono.PRO RUSSIAN SI MLIKUA MNAWASIFIA WAGNER GROUP????? AU SIO NYINYI????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Moscow kufika na kuhold territory sio rahisi..Hata urusi walishindwa kuhold territory Kiev au umesahau mkuu???Ubabe wao ni kwa Ukraine tu. Tarehe 26.6 ulete mrejesho kama wata tema mate Moscow.