Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Hawa askari wa jeshi la Urusi huenda wamepangwa. Wanarusha risasi chache hewani, halafu wanasalimu amri. Wagner, wanazidi kusonga mbele.

Katika Ulimwengu huu, huwezi kusababisha maafa ya watu wengi namna hiyo, halafu uendelee kuishi. Ni lazima mwisho wako uwe mbaya. Na mwisho wa Putin umefika.

Kuna nchi chache zilikuwa zinamwunga mkono, lakini hapa ndiyo atajua kuwa kumbe hakuwa na rafiki wa kweli.

Mchina na India alikuwa karibu na Putin ili ajipatie mafuta kwa bei chee. Likashenko wa Belarus alikuwa karibu na Putin ili amsaidie aendelee kubakia kwenye Urais kwa sababu wananchi wake hawamtaki. Nchi za Afrika ndiyo hakuna kitu kabisa. Zilizokuwa zinamwunga mkono Putin, zilikuwa zinanyemelea manufaa ya kiuchumi. Putin anaweza kutafuta nchi ya kwenda kujificha, ukashangaa hakuna nchi ya kumpa hifadhi, au baada ya kumpa hifadhi wakamkabidhi kwa mahakama ya The Hague.
 
Hawa Wagner pale Urusi ni sawa na mgambo tu kwa hapa kwetu. Putin hawezi kutishwa na mgambo.

Ila hapa ni propaganda za kivita zinachezwa tu. Kumsoma adui na kuijua mipango yake
Mi mwenyewe siwaamini hao Wagner
 
Whatever the outcome ya hii coup sidhani kama Russia watakuwa na nguvu za kurudi Ukraine tena,
Umenena ukweli mtupu. Hii hali itamchamganya sana Putin, na hata wapiganaji waliopo front line.

Hali kama hii huwa ni kazi sana kuidhibiti kwa muda mfupi. Hapa Wagner, wamemaliza vita ya Urusi dhidi ya Russia.
 
Wagner is a military force of 25k to 50k max. The Russian military is 1 M+ with an air force. If Putin wants to stop Wagner, he
Israel ina askari wangapi? Zile nchi zote za Kiarabu zilizoungana ili kumpiga myahudi, lakini zikatandikwa zote, zilikuwa na askari wangapi? Zilikuwa na ndege ngapi? Vifaru na mizinga mingapi?

Ushindi katika vita ni zaidi ya idadi ya askari. Wale wapiganaji wa Wagner, ni really professional, siyo kama wale wa jeshi la Urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…