YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Slava UkrainePutin ameiangamiza Russia, hii Vita ya Ukraine imegeuka anguko lake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slava UkrainePutin ameiangamiza Russia, hii Vita ya Ukraine imegeuka anguko lake.
Hii miji yote imechukuliwa na hao Wagner?Wana Miji 3 mikubwa kuliko nusu ya ardhi yote ya Ukraine.
-Rostov
-Lipetsk
-Voronezh
Biashara kina Roman zimekwama sababu ya upumbavu wa PutinRussian oligarchy ambayo wengi ni wayahudi hawamtaki tena putin na watamg'oa kwa vyovyote vile
Hawa askari wa jeshi la Urusi huenda wamepangwa. Wanarusha risasi chache hewani, halafu wanasalimu amri. Wagner, wanazidi kusonga mbele.Mapigano ya kwanza yameripotiwa kati ya wapiganaji wa Wagner na jeshi la Urusi katika mji wa Rostov. Wanajeshi wa Urusi walikuwa wameweka vizuizi vya barabarani lakini Wagner wamesambaratisha vizuizi hivyo. Wanajeshi 38 wa Urusi wamejisalimisha kwa wapiganaji hao. View attachment 2667271
Uelekeo Moscow hadi saa 6 usiku watu washatimba.Hii miji yote imechukuliwa na hao Wagner?
Is Wagner chief a jew?Never trust a Jew.....
A anamrushia nani ? WAGNER ndani ya Russia wanataka afunge virago kwa mtutu wa bunduki labda arushe ndani ya RussiaAny time from now nuclear zinavurumishwa
Mi mwenyewe siwaamini hao WagnerHawa Wagner pale Urusi ni sawa na mgambo tu kwa hapa kwetu. Putin hawezi kutishwa na mgambo.
Ila hapa ni propaganda za kivita zinachezwa tu. Kumsoma adui na kuijua mipango yake
Umenena ukweli mtupu. Hii hali itamchamganya sana Putin, na hata wapiganaji waliopo front line.Whatever the outcome ya hii coup sidhani kama Russia watakuwa na nguvu za kurudi Ukraine tena,
Ndo maana anajiamini sana. Putin katumia stab in the back. Ni kama ile ya Julius Caesar even you Brutus?Kama ni kweli,hawezi chomoka. MAANA Prigo anamjua Putin kuliko mtu yeyote yule.Unless Prigo auwawe.
Half jew....Is Wagner chief a jew?
Wagner hawapati upinzani wowote ndo kwanza raia wa kwenye miji waliyoiteka wanapiga picha kwenye vifaru vyaoMoscow kufika na kuhold territory sio rahisi..Hata urusi walishindwa kuhold territory Kiev au umesahau mkuu???
Wagner hawezi kuipindua RussiaUelekeo Moscow hadi saa 6 usiku watu washatimba.
Ni either Russia aharibu nchi yake au akubali kupinduliwa
Wagner kama RSF tu, wamegeuka zimwi liliotoka ndani ya chupa......kulirudisha sio rahisi zaidi ya kuliua tu.Mkuu niko shamba ila sitaki kuamini kama kampuni binafsi inaweza tishia usalama wa taifa teule, superpower View attachment 2667502
Israel ina askari wangapi? Zile nchi zote za Kiarabu zilizoungana ili kumpiga myahudi, lakini zikatandikwa zote, zilikuwa na askari wangapi? Zilikuwa na ndege ngapi? Vifaru na mizinga mingapi?Wagner is a military force of 25k to 50k max. The Russian military is 1 M+ with an air force. If Putin wants to stop Wagner, he
Bora wewe umeshtuka mkuu.....Mi mwenyewe siwaamini hao Wagner
Ni mtu mjinga tu anayefikiri putin atapatwa na kituKifo cha putin kitakuwa cha kikatili kama cha Romanovs kwenye ile communist uprising ya wabolsheviks .
Atakufa kwa maumivu makali na humiliation kubwa mpuuzi huyo