Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Southern Military District huko Rostov on Don ina Nukes za maana
 
WAMEKIMBIA SIWAONI HUMU [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani hao wagner wameua askari wangapi wa jeshi la urussi mpaka sasa wewe subiri tu hao wanapigwa na ndege tu tunawavuta wasije kukimbilia ukrain kujiunga huko maana sehemu pekee watakayo kimbilia kuokoa maisha yao ni ukrain hivyo wanatakiwa kuvyutwa ndani ya urusi kisha kazi inafanyika kumaliza
 
Wagner wameteka Command Centre ya jeshi la Urusi kanda ya Kusini. Kamandi hii ndio inayohusika kutoa amri kwa wanajeshi wa Urusi wanaopigana nchini Ukraine. View attachment 2667308View attachment 2667309
Huyo Prizoghin kashapewa hela na NATO hamna jingine. Pesa hainaga upinzani.. Uwekewe Trillion 100 kwenye account lazma akili ifyatuke. Naona hela za vifurushi vya silaha kawekewa yeye na vijana wake.

Kwa style hii Urusi hawezi toboa. Kupigana na muasi ni balaa zito.
 
Shetani mkubwa ni Putin. Hatukuona hata risasi moja ikipigwa dhidi ya Urusi kutoka Ukraine au NATO.

Putin kwa ukichaa wake alitoka huko na kwenda kuua watu wa nchi nyingine ambao hawajawahi kuishambulia Russia hata siku moja.

Ameua watoto, wazee, akina mama, vijana na wengine wote wasio na hatia yoyote. Roho za watoto wasio na hatia na watu wengine zinamsubiria mbinguni kumshtakia muuaji, shetani Putin, kwa mwenyezi Mungu.

Kama kufa kwa Putin kutakomesha mauaji ya watu wasio na hatia, afe tu haraka. Kama uhai wa watu wengine hauna thamani kwake, kwa nini wengine wauone uhai waje ni wenye thamani?
 
Inaonekana NATO walikua wanasoma mchezo toka mwanzo

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Ila naona hadi muda huu hakuna makabiliano yoyote yale
Nikiwaambia watu Russia ni superpower uchwara wanabisha. Nataka kumtag Bwana Utam ila sioni username yake, nisaidieni anatumia jina gani nimwambie atoke mafichoni.

Russian Army ni kama imepooza bado, response ndogo sana na speed ya kinyonga. Airforce ndio inapambana sababu inaweza respond mapema.
Wakati hapo Moscow hakuna heavy weapons ziko uko Western parts, ambayo ndiyo Urusi inaamini itavamiwa na NATO. Mji mkuu hauwezi pewa silaha nzito sababu majenerali wa hapo wanaweza fanya mapinduzi, silaha zipo pembezoni uko mkitoka nazo kufanya mapinduzi serikali inajipanga kwa masaa au siku kadhaa mpaka mfike mji mkuu itakuwa ishaita units nzito za upande mwingine wa nchi.

Silaha muhimu zilizopo Moscow ni anti ballistic missile systems, silaha nyingi sana za kupambana na maandamano na askari wengi watuliza ghasia na kamatakamata wale kina OMON.

Wagner ingeteka zaidi eneo la magharibi, ila Moscow sio kwamba ipo katikati sana ya Russia. Iko kama magharibi nayo, St. Petersburg inaweza kuwa capital ya muda kama Moscow itakuwa na fujo. Na command jets zinaweza ruka angani, ile Antonov iliyodunguliwa leo ni ya mawasiliano na intelligence, likely ilikuwa inafanya isolation na kusikiliza kutengeneza coordinates za simu kupata Prigozhin yuko wapi ili afanyiwe precision strike ya makombora. Najua Prigozhin anajua hizi mbinu, sio muda muafaka wa yeye kutumia TEHAMA. Kina Putin hawaoni shida kutuma tactical ballistic missile hata wakifa thousands, who cares maana watu wenyewe washakuwa waasi.
 


Duuh.[emoji56][emoji15][emoji38][emoji38][emoji38]
walahi hatukubali.[emoji109]
 
Sio rahisi jeshi la Urusi kushambulia kwa ndege ndani ya nchi yake, wataua raia wao pia na itazidisha balaa zaidi. Jeshi Wamelipua maghala ya mafuta tu kuzuia Wagner kupata nishati ya kusonga mbele.
 
Nasikiliza Space hapa ina watu kama 98K, wengi wanasema Wagner wameachwa kwa makusudi huenda wanajeshi hawakufurahishwa na kilichokuwa kinatokea Ukraine
 
Sio rahisi jeshi la Urusi kushambulia kwa ndege ndani ya nchi yake, wataua raia wao pia na itazidisha balaa zaidi. Jeshi Wamelipua maghala ya mafuta tu kuzuia Wagner kupata nishati ya kusonga mbele.
Ndege azipigi ovyo mabomu zinalenga mashine za kivita jeshi la urusi lina wavuta hao ndani kisha wanamalizwa wote ndiyo maana unaona kimya hadi sasa hivi, pia kikosi special kimeshapewa amri ya kumuua kiongozi wa ilo kundi subiri kidogo habari tamu zinakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…