Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prizoghin....Are they Jewish?
Unadhani wazungu ni kama wa-Sudan?Mapinduzi haya uliskia wapi 😂
Issue ndio hiyo , ndio maana hawajapata resistance yoyote kuvuka mpk,Nasikiliza Space hapa ina watu kama 98K, wengi wanasema Wagner wameachwa kwa makusudi huenda wanajeshi hawakufurahishwa na kilichokuwa kinatokea Ukraine
Nachojiiuliza mimi ni kwanini imekuwa rahisi kwa Wagner kuiteka hiyo miji mikubwa katika muda mfupi?Uelekeo Moscow hadi saa 6 usiku watu washatimba.
Ni either Russia aharibu nchi yake au akubali kupinduliwa
Coup inafanyika lakini Muzzle ya Tank imefungwa kitambaa bado.Unadhani wazungu ni kama wa-Sudan?
Inaonekana huu mpango ulipangwa na kina ShoiguNachojiiuliza mimi ni kwanini imekuwa rahisi kwa Wagner kuiteka hiyo miji mikubwa katika muda mfupi?
Wakati kule Ukraine, Wagner walipojaribu kushambulia mji kubwa walikutana na pingamizi ambalo liliwafanya wabadili mtazamo kwa kuelekea eneo lingine.
Napo huko walitumia siku nyingi kuteka maeneo ambayo ni magogo kwenye habari yalikuwa yaliyokuwa yananukuliwa kwa neno la "vijiji"?
Sasa ndio kwamba Ukraine ilikuwa compact kujilinda kuliko Urusi?
Mbona imekuwa rahisi mno kwa Urusi kuliko ilivyokuwa kwa Ukraine?
Au Urusi hawezi kutumia force kubwa kuwadhibiti hao Wagner kwasababu ya kuhofia kuharibu miundombinu ya nchi yake pamoja na kuwadhuru raia?
Yani hii confusion inazidi kuniacha na maswali mengi zaidi.
Na inasemekana kuna wanajeshi wameambia waondoke UkraineIssue ndio hiyo , ndio maana hawajapata resistance yoyote kuvuka mpk,
Usimalize maneno mkuuYale yale ya Gadaff,sasa hivi Wagner watakua wanapewa kila support na Marekani na Nato!!
Prigo anamjua vizuri sana Mzee Putin,Prigo ndiyo alikua anaonja chakula cha Putin kabla Putin hajala. Russia alipokua anawapo siraha Wagner,siraha hizo ndiyo wanazitumia kumchapia, Mzee Putin akichomoka kwenye hili,atakua komando kweli kweli, CIA,walishafanya calculations kabla hata ya vita kuanza kwamba,Putin atazama tu,mzima mzima,kiko wapi sasa??
Priga anajua kambi zote za kijeshi za Russia,Priga ndiyo atakua anawapa ramani wazee wa B 52 na watakua wanajipigia tu!
Mwisho wa siku, Mzee Putin ataenda akotwa chini ya handaki kama alivyokamatwa Sadam Hussein ,au chini ya karavati la daraja kama alivyokamatwa Gadaff!
Urusi haikulijua hilo tangu mwanzo?Huyo Prizoghin kashapewa hela na NATO hamna jingine. Pesa hainaga upinzani.. Uwekewe Trillion 100 kwenye account lazma akili ifyatuke. Naona hela za vifurushi vya silaha kawekewa yeye na vijana wake.
Kwa style hii Urusi hawezi toboa. Kupigana na muasi ni balaa zito.
Vaeni magunia mjipake na majivu kichwani shwein😂aisee sisi warusi weusi sijui tufanye nini🥲
Analysis iko vizuri ya kitaalamu kijeshi iliyojaa facts un dissputableHuyu Prigo siyo mtu wa mchezo. Siyo kichaa, anajua anachokifanya.
Kwanza analijua kikamilifu jeshi la Urusi, anazijua silaha za Urusi, anajua akiba ya silaha za Urusi, anajua msimamo wa wananchi walio wengi. Na kwa vyovyote vile atakuwa ana mawasiliano na baadhi ya makamanda wa jeshi la Urusi na wapiganaji pia.
Putin anaweza kujiona bado ana askari wengi, kumbe siyo askari wake. Ikumbukwe toka mwanzo, askari wa jeshi la Urusi, licha ya kuwa na silaha nyingi, kikubwa walichokuwa wamekikosa ni morali.
Ufahamu kuwa ndani ya hilo jeshi la Urusi, wengi ambao wamekuwa wanapelekwa mstari wa mbele, ni askari wasio na mafunzo ya kutosha. Ni wale walioandikishwa na kulazimishwa kwenda vitani. Na hilo lilifanyika baada ya Urusi kupoteza askari wake wengi elites mjini Kiev, na siku za mwanzo za mapigano kusini mashariki mwa Ukraine, vifo vilivyohusisha makamanda wa ngazi ya juu wa Jeshi la Urusi.
Askari hao wote wanaona kabisa kuwa maisha yao yapo hatarini kwa kuendelea kupigana nchini Ukraine. Kwao ni rahisi zaidi kupigana dhidi ya Serikali yao kuliko kuendelea kupigana Ukraine ambako nchi za Magharibi wameapa kuendelea kuisaidia Ukraine, hata kama vita itachukua zaidi ya miaka 10.
Wale walikuwa wanatest, hawakua na vifaa na watuWale Waasi wa mwanzo walipoingia Urusi nikasema hapa, Urusi ina Udhaifu, na sio Imara kama inavyoelezwa!
Sasa Wanajeshi wengi wa Urusi wapo Ukraine, na Mwamba anasonga Moscow kiulaini!
Imenikumbusha Movie flani ya Rambo.
Walipue ma kambi za jeshi kabisaKama inavyoonekana kwenye picha hapo. Urusi inapanga kuyalipua madaraja 3 yanayoingia Moscow ili kuwazuia wapiganaji wa Wagner kuingia katika mji huo. View attachment 2667360
Inasemekana ni jeshi lake amelianzisha mwenyewe. So kama amekodi Inamaana anachukua pesa mfuko wa mbele na kuziweka mfuko wa nyuma.. But hilo lakupandiwa dau na western pia Inawezakana maana Wagner wapo after money ... Hawana wanachogombania zaidi ya kupigana kama biashara yao.Nakosa Cha kuchangia.
Ila ni uwendawazimu nchi kutumia jeshi la kukodi na kulipeleka vitani.
Bila shaka hao Wagner wamefika Bei kwa NATO.
si,unajua biashara tena zilivyo?!
Huyo Shoigu simjui, mimi sio mfatiliaji kivile wa hii vita.Inaonekana huu mpango ulipangwa na kina Shoigu