Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Kuweni na akiba ya maneno msije kulikimbia jukwaa.
Tunajua kabisa, wataongea tu.Shida Wagner ataka hela. Ile wanajeshi wasajiliwe na Wizara ya ulinzi moja kwa moja,yeye inamkosesha Hela.
 
Kuna baadhi ya wana historia wanatuelezea kuwa UISILAMU ulianzishwa na Vatican ili ku control MIDDLE EAST na hoja zao zina mashiko sana tu kuna muingiliano wa tamaduni za Vatican na Mecca.
 
Mkuu nyinyi si ndio mlikua mnawasifia wagner
 
Mkuu unatema nondo tupu, mimi kazi yangu kukugongea LIKES tu.
 
Wagner is a military force of 25k to 50k max. The Russian military is 1 M+ with an air force. If Putin wants to stop Wagner, he
Ok muda utaongea , vita si idadi , vita ni mipango tu , mtu kufanya maamuz ya kuwakabir hao 1m ashaona kuwa kuna watu wake humo au inaeza akawa kakurupuka , ila naamin huyo muwagner analijua jeshi la urusi kuliko mimi na wewe
 
Endelea kuota. Wagner wanaendelea kuua askari wa serikali. Helikopta ya askari wa jeshi imedunguliwa na kuteketezwa. Marubani wote wawili wameuawa. Wewe bado unaamini ni maagizo!!

Nadhani hata siku Putin akiuawa, mtasema anaigiza kufa.
Acha uzushi mpaka sasa hakuna makabiliano ya silaha kati ya jeshi la Urusi na wargener ,hizo habari za kutunguliwa kwa Hilkopita mnazitoa nyie lakini mpaka sasa hakuna udhitisho wowote kutoka kwa Urusi ,wargener au vyombo vya habari vyovyote.
 
Acheni kuvuta bangi vijana mtaharibikiwa akili kabisa sasa ona unavyo andika.
uliza kwanza sio kila unayemkuta unaona mjinga wa ccm.
rudi fatilia wagner na sudani na kwa nini iran kujiweka urusi kwa serikali mwisho wa siku mpinzani wa jeshi la sudani kuungwa na wagner na wote support inatoka saudia arabia.
unakazwa nini hata ili.la bandari umeshindwa kukamua utumbo mpana
 
Hahahaaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] hahaha
 
Tunasema vita haipimwi kwa wingi wa askar, vita, morale ama chochote kile ila ni kitu gani umegain.

Wagner mpaka sasa muelekeo wao na azma yao ya kuipindua serikali ni mkubwa zaidi.
 
Kabla ya hayo kutokea jua kabisa NATO countries zitakuwa majivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…