Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Mimi naona Hili suala ni trap au strategy ya kijeshi, haiwezekani Putin hakuona kwamba kuwa na jeshi binafsi vs serikali kwenye field Moja inaweza kuwa na mgongano wa kimaslahi huko mbeleni.

I'm sure he saw this one coming na ndio ataitumia kuimaliza kabisa Wagner ama kutumia Wagner kuondoa wabaya wake jeshi la Russia.

As much as I support Ukraine ila Putin sio mjinga kiasi ambacho hii thread inamuonyesha. In Fact NATO au US haitaki Putin ang'olewe Bali wanataka tu aondolewe Ukraine otherwise vita inaweza kuwa kubwa ikaleta maafa ya kidunia.

Wataalam wanaita "Appeasement Policy" yaani unamfurahisha adui Yako Ili asiwe "mkali" kuepusha "retaliation".

Cc Proved Kalamu mtu chake
 
lukashenko.png
 
Inasemekana Wagner wanataka kukaa mezani na Russia wakubaliane
Shoigu ataka Wagner na makundi mengine wasaini mikataba mipya kati ya Wizara ya ulinzi na vikosi hivyo vikiwemo Wagner na wale wa Chechen.

Hadi leo Russia hawakuwa na sheria rasmi ya kuvitambua hivi vikosi na sasa watakiwa watambuliwe rasmi na kisheria.

Wamepewa hadi tarehe 1 Julai mwaka huu.
 
Wale Waasi wa mwanzo walipoingia Urusi nikasema hapa, Urusi ina Udhaifu, na sio Imara kama inavyoelezwa!

Sasa Wanajeshi wengi wa Urusi wapo Ukraine, na Mwamba anasonga Moscow kiulaini!

Imenikumbusha Movie flani ya Rambo.
Nani kakuambia wanajeshi wengi wa urusi wapo Ukraine?weka data
 
Mwamba huyu hapa, amehakikisha lazima aupindue uongozi wa kijeshi wa Urusi.

View attachment 2667586
Dume la mbegu hilo ,jogoo dume kiboko cha Jeshi la Urusi

Para Military group lenye mafunzo makali.kuliko jeshi la serikali ya Urusi

Hilo jeshi lina wapiganaji wenye uwezo mkubwa kuliko jeshi la serikali na lilianzishwa kwa lengo moja tu kukabiliana na jeshi la serikali kama litakuja kuasi ili.kipande cha Russia kilichobaki baada ya Soviet Union kusambaratika sababu ya uasi wa jeshi kisije tokea kwenye Russia ya Putin

Sasa wamegeuka jeshi la Russia halina uwezo wa kupambana nao hata asilimia 20

Wagner mafunzo kivita ni.mara mia ya Askari wa serikali wa rank yeyote toka chini hadi juu
Serikali ya Russia muda wowote inapinduliwa na Putin atachinjwa kama kuku wa mdondo ingawa kuna taarifa kuwa kakimbilia Iran taarifa ambazo zijadhibitisha bado kuwa baada ya press Conferenc makomandoo wa chechna na Iran ambao amekuwa akiwatumia kwenye ulinzi binafsi waliondoka naye kwenda Iran kwenye mji.mmojawapo Iran ili Wagner kama wanawinda kichwa chake wasimpate

Kwa maoni yangu siku tatu toka sasa tutajua mbivu na mbichi kama Putin yuko Kremlin au la

Tuvute subira
 
Shoigu ataka Wagner na makundi mengine wasaini mikataba mipya kati ya Wizara ya ulinzi na vikosi hivyo vikiwemo Wagner na wale wa Chechen.

Hadi leo Russia hawakuwa na sheria rasmi ya kuvitambua hivi vikosi na sasa watakawa watambuliwe rasmi na kisheria.

Wamepewa hadi tarehe 1 Julai mwaka huu.
Aisee..
 
Back
Top Bottom