Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuja kusoma posti zetu kwenye ule uzi...Whatever the outcome ya hii coup sidhani kama Russia watakuwa na nguvu za kurudi Ukraine tena,
Aisee,,Rostov kuna kambi kubwa yenye 25% ya Jeshi zima la Urusi
Nasikia zipo milimani milimani huko.Bankers alizojenga Urusi zinatumika sasa
🤣🤣Inasemekana Wagner wanataka kukaa mezani na Russia wakubaliane
Shoigu ataka Wagner na makundi mengine wasaini mikataba mipya kati ya Wizara ya ulinzi na vikosi hivyo vikiwemo Wagner na wale wa Chechen.Inasemekana Wagner wanataka kukaa mezani na Russia wakubaliane
Haitaishia hapo, nyovyote itakavyokua Putin ndie atapoteza...Yap ni maslahi ,sasa wataongea na Putin.Mambo yatakuwa sawa.Ila ndo faida ya kuunga mkono jeshi binafsi.Putin analipa makosa aliyofanya.
Nani kakuambia wanajeshi wengi wa urusi wapo Ukraine?weka dataWale Waasi wa mwanzo walipoingia Urusi nikasema hapa, Urusi ina Udhaifu, na sio Imara kama inavyoelezwa!
Sasa Wanajeshi wengi wa Urusi wapo Ukraine, na Mwamba anasonga Moscow kiulaini!
Imenikumbusha Movie flani ya Rambo.
Dume la mbegu hilo ,jogoo dume kiboko cha Jeshi la Urusi
Prigo sina wasiwasi naye kwa propagandaIla kama kweli,ukizingatia hakuna reaction yeyote upande wa Russia.Muda utaongea.
Wasema kuna kuku walikuwa wavutiwa kwa mtama mahali.Wamefikia makubaliano......
Hakuna Coup.
Aisee..Shoigu ataka Wagner na makundi mengine wasaini mikataba mipya kati ya Wizara ya ulinzi na vikosi hivyo vikiwemo Wagner na wale wa Chechen.
Hadi leo Russia hawakuwa na sheria rasmi ya kuvitambua hivi vikosi na sasa watakawa watambuliwe rasmi na kisheria.
Wamepewa hadi tarehe 1 Julai mwaka huu.
Duh!!..Nimesikia kiongozi wa Wagner amehakikisha lazima aingie Moscow na lazima jeshi la Urusi lisambaratike.
View attachment 2667631
Hawa ni askali wa kikosi cha Wagner wakifanya upekuzi katika mitaa ya mji wa Rostov nchini Urusi alasiri ya leo.
Ni kichaa tu anayeweza kufikiri kitu kitamtokea PutinSafari hii hachomoki. Wameteka kambi iliyo na shehena kubwa ya silaha huko Rostov kwa ajili ya kupeleka Ukraine.