Uwongo uwongo umeanza apa ni mwendo wa mafix tuuuuUrusi yaanza haribu maghala ya mafuta ili kuzuia Wagner wasipate mafuta yatayowezesha wao kufika Moscow
🤣🤣Yeye hana tamaa? Kutesa kwa zamu
Apishe Wagner nao wafaidi
Unakumbuka wale waasi wa mchongo walivyopewa dozi faster, sasa unadhani wanashindwa nini kuwafyeka Wagner ambao data zao zote ziko wazi. Kuna kitu kinatengenezwa hapo. Ndio maana hata US hawakurupukii hizi sanaa za kijana wa Putin Prigo. HahahaM
Mzee una sympathy na Putin🤣🤣🤣
Mbona kaikimbia Moscow. Wewe ndo kichaa. Subiri uone wanaume wanavyomfanya PutinNi kichaa tu anayeweza kufikiri kitu kitamtokea Putin
Imeshaanza kusemwa eti Lukashenko kishanegotiate na Prigozhin. Prigozhin kakubali kusitisha majishe kwenda MoscouPrigo sina wasiwasi naye kwa propaganda
Movie hii,ma mae yaani hawa warusi ni noma kwa Propaganda.Reports are coming in of successful negotiations with Wagner, faciliated by Belorussian President Lukashenko.
Kuna vyanzo vinadai kilichofanya Prigozhin achukie ni kitendo cha viongozi wa MOD wa Russia kuamua kuchukua udhibiti wa kuendesha shughuli za Wagner huko Ukraine, yaani Prigozhin ameona hiyo hatua itamdhoofisha yeye binafsi na kundi lake.Mimi naona Hili suala ni trap au strategy ya kijeshi, haiwezekani Putin hakuona kwamba kuwa na jeshi binafsi vs serikali kwenye field Moja inaweza kuwa na mgongano wa kimaslahi huko mbeleni.
I'm sure he saw this one coming na ndio ataitumia kuimaliza kabisa Wagner ama kutumia Wagner kuondoa wabaya wake jeshi la Russia.
As much as I support Ukraine ila Putin sio mjinga kiasi ambacho hii thread inamuonyesha. In Fact NATO au US haitaki Putin ang'olewe Bali wanataka tu aondolewe Ukraine otherwise vita inaweza kuwa kubwa ikaleta maafa ya kidunia.
Wataalam wanaita "Appeasement Policy" yaani unamfurahisha adui Yako Ili asiwe "mkali" kuepusha "retaliation".
Cc Proved Kalamu mtu chake
Kesho asubuhi lazima wanaume watakuwa wameiteka MoscowHadi saa 6 watu watakuwa washaingia
Naona kasista duu kanarekoodi hapo ningekuwa naishi huo mji na ninasehemu ya kukimbilia ningeondoka mara mojaWagner wameteka Command Centre ya jeshi la Urusi kanda ya Kusini. Kamandi hii ndio inayohusika kutoa amri kwa wanajeshi wa Urusi wanaopigana nchini Ukraine. View attachment 2667308View attachment 2667309
NATO didnt take the bait......Wasema kuna kuku walikuwa wavutiwa kwa mtama mahali.
Myahudi huyo hakuna asicho kijuaNdege azipigi ovyo mabomu zinalenga mashine za kivita jeshi la urusi lina wavuta hao ndani kisha wanamalizwa wote ndiyo maana unaona kimya hadi sasa hivi, pia kikosi special kimeshapewa amri ya kumuua kiongozi wa ilo kundi subiri kidogo habari tamu zinakuja
Prigozhin accepted Lukashenka's proposal to stop the movement of PMC "Wagner" — TASSImeshaanza kusemwa eti Lukashenko kishanegotiate na Prigozhin. Prigozhin kakubali kusitisha majishe kwenda Moscou
TAyari wameanza kuingia Moscow kama mabasi ya mkoa.Hawa Wagner pale Urusi ni sawa na mgambo tu kwa hapa kwetu. Putin hawezi kutishwa na mgambo.
Ila hapa ni propaganda za kivita zinachezwa tu. Kumsoma adui na kuijua mipango yake
Yaleyale ya Waziri wa Ulinzi wa Iraq aliyesema majeshi ya Marekani yamezingirwa kusini mwa BagdadKatika hatua nyingine, imeelezwa kuwa Ndege ya Rais imeonekana kuondoka #Moscow, hata hivyo Ikulu imedai kuwa Rais #Putin bado yupo katika Mji Mkuu huo
Mfano ukikamata makao makuu ya jeshi la mkoa let say Arusha na ofisi muhimu kama ofisi ya meya, mkuu wa mkoa maana yake una control shughuli zote za eneo hilo.Wakuu naomba mnieleweshe wanaposema jeshi limeteka ina maana gani ? Maana mfano wameteka mji wa kasulu na tunafahamu miji inabeba watu hata laki tatu na kuendelea na ni eneo kubwa sana ! Wanaweza kuoccupy eneo zima ? Na utasikia baadae wameenda miji mingine tena!
Habar kama hizi zinaukosha moyo wangu.Jamaa wako serious wanaelekea moscow