Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Mimi naona Hili suala ni trap au strategy ya kijeshi, haiwezekani Putin hakuona kwamba kuwa na jeshi binafsi vs serikali kwenye field Moja inaweza kuwa na mgongano wa kimaslahi huko mbeleni.

I'm sure he saw this one coming na ndio ataitumia kuimaliza kabisa Wagner ama kutumia Wagner kuondoa wabaya wake jeshi la Russia.

As much as I support Ukraine ila Putin sio mjinga kiasi ambacho hii thread inamuonyesha. In Fact NATO au US haitaki Putin ang'olewe Bali wanataka tu aondolewe Ukraine otherwise vita inaweza kuwa kubwa ikaleta maafa ya kidunia.

Wataalam wanaita "Appeasement Policy" yaani unamfurahisha adui Yako Ili asiwe "mkali" kuepusha "retaliation".

Cc Proved Kalamu mtu chake
Kuna vyanzo vinadai kilichofanya Prigozhin achukie ni kitendo cha viongozi wa MOD wa Russia kuamua kuchukua udhibiti wa kuendesha shughuli za Wagner huko Ukraine, yaani Prigozhin ameona hiyo hatua itamdhoofisha yeye binafsi na kundi lake.

Huenda pia ni mbinu ya viongozi wa MOD kummaliza kabisa Prigozhin kwa wakati huu na kumuondoa kabisa kwenye mchezo na hata Putin inawezekana amebariki haya.

Japo haitakuwa rahisi kwa Wagner kumng'oa Putin Ila huu mzozo umeonyesha udhaifu uliopo huko Moscow na pengine hii Vita haikupendwa na wengi huko Moscow.

Au ni mwendelezo wa propaganda za Russia kwa malengo fulani.
 
Ndege azipigi ovyo mabomu zinalenga mashine za kivita jeshi la urusi lina wavuta hao ndani kisha wanamalizwa wote ndiyo maana unaona kimya hadi sasa hivi, pia kikosi special kimeshapewa amri ya kumuua kiongozi wa ilo kundi subiri kidogo habari tamu zinakuja
Myahudi huyo hakuna asicho kijua
 
Evgeny Prigozhin has agreed to halt his advance toward Moscow after a mediation effort led by Belarusian President Alexander Lukashenko, Belarusian state media reported Saturday evening.
===
×××××
Sijajua ni Mchezo gani Russia wanacheza kwa kweli!!
Kwamba Lukashenko ndiye kamueleza Bos wa PMC arudi kambini!
 
Wakuu naomba mnieleweshe wanaposema jeshi limeteka ina maana gani ? Maana mfano wameteka mji wa kasulu na tunafahamu miji inabeba watu hata laki tatu na kuendelea na ni eneo kubwa sana ! Wanaweza kuoccupy eneo zima ? Na utasikia baadae wameenda miji mingine tena!
Mfano ukikamata makao makuu ya jeshi la mkoa let say Arusha na ofisi muhimu kama ofisi ya meya, mkuu wa mkoa maana yake una control shughuli zote za eneo hilo.

Hapo anakuwa ameteua watu wake kushikilia ofisi hizo na kuwatimua waliokuwepo awali.
 
Back
Top Bottom