Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

You nailed it

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mimi siku zote nitaendelea kumtetea mzee Shoigu. Ni mtu mtulivu asiye na mambo mengi na hana madhambi mzee wa watu.
Prigozhin inawezekana hakushambuliwa kabisa kabisa, alitafuta justification. Na kwa sababu Urusi ni nchi ya uongo na propaganda kila mmoja anajua kuzitumia vizuri na kutengeneza.

Prigozhin aliona aibu kumtaja Putin moja kwa moja, pia aliona upinzani unaweza kuwa mkali. Akaona aanze na kumtaja mzee Shoigu asiye na makuu, then makamanda wa jeshi watapunguza makali kidogo alafu taratibu asome upepo amtaje Putin. Vilevile Prigozhin alijua fika akimfuata Shoigu atamlazimisha Putin kutoa tamko la kumzuia na kutaja maneno fulani ambayo atayatumia dhidi yake, ikawa hivyo naye akakwepa aibu ya direct. Nikikuita wewe mjinga alafu ghafla ukanivamia na kunipiga kipigo kikali huku unatamka "mjinga nani?" kuna uwezekano ulikuwa unanitafutia kisa.

Cha ajabu anayeongoza msafara wa Wagner kwenda Moscow ni huyu jamaa mwenye alama za Nazi mabegani. Russia tuliwaambia Nazis wanao wenyewe nchini wako wakashupaza shingo, wakawa wanataja sababu uchwara za denazification na demilitarisation ndani ya siku tatu. Kumbe sasa imekuwa Nazification of Russia ndani ya siku ngapi hizi
 
Alama za NAZ siko wapi hapo mkuu?
 
Watakuwa
chambo
kitakatifu mwanzoni
walipewa
air
cover
sasa zelesky atawalambisha
mchanga na wote hatujui
hata
western. hawajui hii movie. ndio.maana.hawakusubutu kuchukua eneo.lao
 
Hii nchi imejaa wajinga wengi sana mmoja wapo ni wewe wewe unadhani wagner wanaweza kuvunja harakati za BRICS thubutuu
 
Unakumbuka wale waasi wa mchongo walivyopewa dozi faster, sasa unadhani wanashindwa nini kuwafyeka Wagner ambao data zao zote ziko wazi. Kuna kitu kinatengenezwa hapo. Ndio maana hata US hawakurupukii hizi sanaa za kijana wa Putin Prigo. Hahaha
Kuteka jimbon, hv unalijua jimbo ?
 
Hili swala lilikuwa planned ndo maana hakuna resistance yoyote ile
Kuna red line wagner walipewa wakivuka ndiyo watajua awajui ....maana hao wagner pia ni warusi na watoto wa warusi ......hakuna chochote wataweza kufanikisha kwa kupambana na jeshi la urusi zaidi ya kusalitiana kwa kujiunga na jeshi
 
Wagner wametumia akili kubwa sana. Walidanganya kuwa wanaenda mapumzikoni. Misafara yao ikaingia russia bila wasiwasi.

Waliingia Rostov kila mtu akajua wanakuja mapumzikoni kumbe lengo lao ni kuteka ngome kubwa ya kijeshi ya Rostov palipo na kila aina ya silaha kwa ajili ya Uktaine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…