Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Endelea kukaza fuvu tu hilo , tangia nilipo ona Putin aka rais wa supapawa ya mabua alioishi kama panya buku ,anajificha kwenye bunkers ,hell anawaogopa hata generals wa Russian forces na ministers wake ,rais gani anaongea na mtu kwa kutotaka hata kumsogelea subordinate wake ? ,mtu anatumia meza ndefu kama uwanja wa mpira kuongea na subordinates wake ,hataki hata kusogeleana nao .
Putin is a fucking coward rat , ndio maana hata ameua watu wengi wasio na hatia walipinga mambo yake ya kipuuz kama udikteta ,rushwa na ufisadi .Wengi kawafilisi ,kawaua kikatili kwa nerve agents na sumu ,wengine wanaozea magerezani kwa kesi za kusingiziwa .
Putin is a moron, a coward ,a looser and war criminal
Days are numbered , basha wako Putin anachinjwa
You nailed it

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Binafsi naona ni njamaa, maana kabla ya hapo wamekuwa na mgogoro mkubwa sana.

Wagner walimalalamikia kuwa jana Shoigu aliwapiga mabomu, hivyo Wagner wakasema wanaenda mfata Shoigu na mwenzake.

Maajabu walipofika mpakani wakaachwa wakapita hadi makao makuu ya jeshi, wakapateka.

Putin akatangaza kuwa Wagner wamechagua njia isiyo sahihi hivyo wauawe
, Baada ya hapo Wagner imebidi liwalo na liwe ndo maana wakaanza enda Moscow

Cha ajabu hawajashambuliwa hadi wanakaribia Moscow

Na viongozi wengi wameondoka
Mimi siku zote nitaendelea kumtetea mzee Shoigu. Ni mtu mtulivu asiye na mambo mengi na hana madhambi mzee wa watu.
Prigozhin inawezekana hakushambuliwa kabisa kabisa, alitafuta justification. Na kwa sababu Urusi ni nchi ya uongo na propaganda kila mmoja anajua kuzitumia vizuri na kutengeneza.

Prigozhin aliona aibu kumtaja Putin moja kwa moja, pia aliona upinzani unaweza kuwa mkali. Akaona aanze na kumtaja mzee Shoigu asiye na makuu, then makamanda wa jeshi watapunguza makali kidogo alafu taratibu asome upepo amtaje Putin. Vilevile Prigozhin alijua fika akimfuata Shoigu atamlazimisha Putin kutoa tamko la kumzuia na kutaja maneno fulani ambayo atayatumia dhidi yake, ikawa hivyo naye akakwepa aibu ya direct. Nikikuita wewe mjinga alafu ghafla ukanivamia na kunipiga kipigo kikali huku unatamka "mjinga nani?" kuna uwezekano ulikuwa unanitafutia kisa.

Cha ajabu anayeongoza msafara wa Wagner kwenda Moscow ni huyu jamaa mwenye alama za Nazi mabegani. Russia tuliwaambia Nazis wanao wenyewe nchini wako wakashupaza shingo, wakawa wanataja sababu uchwara za denazification na demilitarisation ndani ya siku tatu. Kumbe sasa imekuwa Nazification of Russia ndani ya siku ngapi hizi
20230624_201916.jpg
 
Mimi siku zote nitaendelea kumtetea mzee Shoigu. Ni mtu mtulivu asiye na mambo mengi na hana madhambi mzee wa watu.
Prigozhin inawezekana hakushambuliwa kabisa kabisa, alitafuta justification. Na kwa sababu Urusi ni nchi ya uongo na propaganda kila mmoja anajua kuzitumia vizuri na kutengeneza.

Prigozhin aliona aibu kumtaja Putin moja kwa moja, pia aliona upinzani unaweza kuwa mkali. Akaona aanze na kumtaja mzee Shoigu asiye na makuu, then makamanda wa jeshi watapunguza makali kidogo alafu taratibu asome upepo amtaje Putin. Vilevile Prigozhin alijua fika akimfuata Shoigu atamlazimisha Putin kutoa tamko la kumzuia na kutaja maneno fulani ambayo atayatumia dhidi yake, ikawa hivyo naye akakwepa aibu ya direct. Nikikuita wewe mjinga alafu ghafla ukanivamia na kunipiga kipigo kikali huku unatamka "mjinga nani?" kuna uwezekano ulikuwa unanitafutia kisa.

Cha ajabu anayeongoza msafara wa Wagner kwenda Moscow ni huyu jamaa mwenye alama za Nazi mabegani. Russia tuliwaambia Nazis wanao wenyewe nchini wako wakashupaza shingo, wakawa wanataja sababu uchwara za denazification na demilitarisation ndani ya siku tatu. Kumbe sasa imekuwa Nazification of Russia ndani ya siku ngapi hiziView attachment 2667661
Alama za NAZ siko wapi hapo mkuu?
 
Watakuwa
chambo
kitakatifu mwanzoni
walipewa
air
cover
sasa zelesky atawalambisha
mchanga na wote hatujui
hata
western. hawajui hii movie. ndio.maana.hawakusubutu kuchukua eneo.lao
 
Mimi siku zote nitaendelea kumtetea mzee Shoigu. Ni mtu mtulivu asiye na mambo mengi na hana madhambi mzee wa watu.
Prigozhin inawezekana hakushambuliwa kabisa kabisa, alitafuta justification. Na kwa sababu Urusi ni nchi ya uongo na propaganda kila mmoja anajua kuzitumia vizuri na kutengeneza.

Prigozhin aliona aibu kumtaja Putin moja kwa moja, pia aliona upinzani unaweza kuwa mkali. Akaona aanze na kumtaja mzee Shoigu asiye na makuu, then makamanda wa jeshi watapunguza makali kidogo alafu taratibu asome upepo amtaje Putin. Vilevile Prigozhin alijua fika akimfuata Shoigu atamlazimisha Putin kutoa tamko la kumzuia na kutaja maneno fulani ambayo atayatumia dhidi yake, ikawa hivyo naye akakwepa aibu ya direct. Nikikuita wewe mjinga alafu ghafla ukanivamia na kunipiga kipigo kikali huku unatamka "mjinga nani?" kuna uwezekano ulikuwa unanitafutia kisa.

Cha ajabu anayeongoza msafara wa Wagner kwenda Moscow ni huyu jamaa mwenye alama za Nazi mabegani. Russia tuliwaambia Nazis wanao wenyewe nchini wako wakashupaza shingo, wakawa wanataja sababu uchwara za denazification na demilitarisation ndani ya siku tatu. Kumbe sasa imekuwa Nazification of Russia ndani ya siku ngapi hiziView attachment 2667661
Hii nchi imejaa wajinga wengi sana mmoja wapo ni wewe wewe unadhani wagner wanaweza kuvunja harakati za BRICS thubutuu
 
Na ukumbuke Wagner ina wapiganaji wengi makomandoo,zaidi ya yote wana uzoefu mkubwa wa vita.

Na Putin chokochoko zote alikuwa anawategemea hawa Wagner. Ukumbuke hawa Wagner ni zao lake,hivyo alikuwa anawategemea sana kwenye hivi vita.

Zaidi sana Warusi wengi hawakubariani kabisa na uamuzi wa Putin kuingia vitani miaka hii. Na Warusi wengi wamechoka sana na uongozi wa kidkteter wa Putin. Hapo Wagner tutegemee mapokezi makubwa ya Wagner kutoka kwa wananchi kokote kwa hatua watakayofikia. Pia tutegemee wanajeshi wengi kutoka upande wa serikali kujiunga na kundi la Wagner. Putin amejificha.
Wagner wametumia akili kubwa sana. Walidanganya kuwa wanaenda mapumzikoni. Misafara yao ikaingia russia bila wasiwasi.

Waliingia Rostov kila mtu akajua wanakuja mapumzikoni kumbe lengo lao ni kuteka ngome kubwa ya kijeshi ya Rostov palipo na kila aina ya silaha kwa ajili ya Uktaine.
 
Back
Top Bottom