Walitaka wawajue wasaliti mapema[emoji16]Hii itakuwa ni stage movie si bure Rasia na hili kundi LA Wagner wana jambo lao LA siri ,kuwahadaa maadui zao. NATO wawe makini na huu mtego wasije kupima kina cha maji kwa miguu miwili.
Unaongea utadhani hata unafahamu maswala ya kijeshi kumbe jinga moja. Ona sasa mbona wamenywea. Maana kuna jamba halipo sawaHivi unaelewa maana ya kushikilia makao makuu ya kanda ya kusini. ? We kenge kweli unadhani wagner ni wajinga kama wewe unaedhani makao makuu ya jedhi kuna mikate
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]zelesky. alikuwa.anachungulia movie kwa kukenua meno 32
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]aibu wameonaKama nawaona Wayukreni wa kwa bi kibonge wanavyokimbia huu uzi pia, mlidanganyika na propaganda za media za west [emoji2957]
Makinia umefufuk eeezelesky. alikuwa.anachungulia movie kwa kukenua meno 32
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wale wa Mbagala ngoja tuachie uzi ili tuwahi nyumbani.
Maana kuna fala ametukosesha penati leo
Kwamba waliachwa Ukraine warelax na propaganda za prigo au[emoji38][emoji38][emoji38]Ndege za kivita za urusi zimeanza kushambulia majiji ya ukraine muda huu
Hawa jamaa nawapenda Sana,Sema Chechens wanapenda ugomvi kuliko kula. Wao wakisikia ugomvi hawaulizi mara mbili, ni vaa buti silaha begani tukazichape[emoji3]
HAwajakutana na wababe wafyekweHawa jamaa nawapenda Sana,
Yaan MDA wote wako attention,
Wanapenda ugomvi balaa.[emoji38]
Ndo maana Wagner kumbe walipita kote uko Bila kubughudhiwa[emoji38]Akili aliyotumia Putin kutowashumbulia ni kubwa mkuu...kumwaga damu za raia wako, kuharibu nchi yako na kuruhusu vita ya ndani ni jambo baya lisilofaa. Western lazima watakuwa wamemaindi vibaya kwa kitendo cha hao jamaa kurudi nyuma. Binafsi Putin nampa heko kamaliza mambo kwa akili bila kudhuru raia na nchi yake.
Comment Bora kabisa hii[emoji4][emoji106]Mzee alichokifanya Putin kwa Rais/mwanadamu yeyote mwenye akili timamu angekifanya.
Kuna maamuzi/matendo ambayo mazingira na nyakati huyafanya yawe ya kishujaa au ya kipumbavu.
Hakuna mtawala yeyote timamu anapenda maandamano au mapigano yafanyike kwenye ardhi yake hata kama ana jeshi imara kiasi gani sababu huathiri shughuli zote za kimaisha lakini hatari zaidi huwezi jua mwisho wake utakuwaje. Pia uasi mara nyingi huwezi jua wahusika na scale yake ikoje. US na ubabe wake wote, haruhusu vita kupiganwa kwenye ardhi yake.
Russia yuko vitani na Ukraine kwa sasa, itakuwa ni ujuha kuchagua vita na wagner badala ya suluhu ya amani.
Nguzo muhimu ya jeshi ni Military Inteligency unit. Hii brain of jeshi. Muscles bila brain ni ng'ombe. Kazi ya leo Urusi, naona ni ufanisi wa MI ya Urusi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]Niliwaambia wekeni akiba ya maneno hamkutaka kusikia, poleni sana kwa furaha yenu kutofikisha hata masaa 24
Alafu na yule alisema yupo kijijini hakuna network, eti leo gafla anapata network bila tatizo lolote
Unajua Putin naye sio mjinga, anajua fika ana wapinzani wa ndani wangeungana na Wegner.Ndo maana Wagner kumbe walipita kote uko Bila kubughudhiwa[emoji38]
Unaambiwa usikuu Huu,Rebellion ambayo hakuna kifo hata kimoja,haya ni Maigizo.
Kuna jambo zito linaendelea hapa watu waingie kingi-politics ni mchezo mchafu
huon ukiliz wako , nmeuliza swali , ww unajibu swali lako mwenyew , kwann usijiulize hlf ujib swal lako ? , bado unaandika paragraphs kutetea utoto wako ? Ndio maana nmekuuliza umeelewa swali ? jithidi kuwa unajib kama swali linavyotaka km huez unapita hv ....Tumia akili
Na usilazimishe fikra zako dhaifu zipenye katika kundi la watu, Naona unatumia nguvu nyiiingi kudisplay kitu ambacho hakipo.
Tunaweza kukuelewesha Lkn kuhojiana na wewe hapa Ni kupoteza Muda kabisa. Hili linatosha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwenu wa america wa kwa mtogole.... mliingilia ugomvi wa ndoa mkadhani wanandoa wanagombanaga