Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Hii itakuwa ni stage movie si bure Rasia na hili kundi LA Wagner wana jambo lao LA siri ,kuwahadaa maadui zao. NATO wawe makini na huu mtego wasije kupima kina cha maji kwa miguu miwili.
Walitaka wawajue wasaliti mapema[emoji16]
 
Kama nawaona Wayukreni wa kwa bi kibonge wanavyokimbia huu uzi pia, mlidanganyika na propaganda za media za west [emoji2957]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]aibu wameona
 
Huu mchezo umenikumbusha zoezi la zima moto Airport Dodoma watu tukajua ajali ya ndege kumbe wahuni wanaigiza uokoaji.
Swali la kujiuliza
1. Wamekamata mji bila risasi moja hata kutumika. Why? Kwamba kikosi kilichovamiwa kilijisalimisha fasta au kilikuwa kinaunga mkono PMC
2. Ghafla wamegeuka wasiende Moscow iwe kwa ahadi za mdomo na kukubali. Why? Wanaaminije kuwa ahadi hizo zitatekelezwa wapendwavyo na haziwapi muda adui zao kijipanga

3. Wamepima trap iliwekwa kuwa hawatatoboa? Kwani walikiwa hawajui kuwa watakutana na vikosi vya aina hiyo?

Ni mwezi tu au miwili pia USA alikuwa amelikisha ilikuja kuonyesaha kuwa document fake za mipango ya vita ya Ukraine.
Isije ikawa Propaganda. Kumbuka Chief wa Wagner ni wantedna FBI.
TUKAE KWA KUTULIA
 
Akili aliyotumia Putin kutowashumbulia ni kubwa mkuu...kumwaga damu za raia wako, kuharibu nchi yako na kuruhusu vita ya ndani ni jambo baya lisilofaa. Western lazima watakuwa wamemaindi vibaya kwa kitendo cha hao jamaa kurudi nyuma. Binafsi Putin nampa heko kamaliza mambo kwa akili bila kudhuru raia na nchi yake.
Ndo maana Wagner kumbe walipita kote uko Bila kubughudhiwa[emoji38]
 
Mzee alichokifanya Putin kwa Rais/mwanadamu yeyote mwenye akili timamu angekifanya.

Kuna maamuzi/matendo ambayo mazingira na nyakati huyafanya yawe ya kishujaa au ya kipumbavu.

Hakuna mtawala yeyote timamu anapenda maandamano au mapigano yafanyike kwenye ardhi yake hata kama ana jeshi imara kiasi gani sababu huathiri shughuli zote za kimaisha lakini hatari zaidi huwezi jua mwisho wake utakuwaje. Pia uasi mara nyingi huwezi jua wahusika na scale yake ikoje. US na ubabe wake wote, haruhusu vita kupiganwa kwenye ardhi yake.

Russia yuko vitani na Ukraine kwa sasa, itakuwa ni ujuha kuchagua vita na wagner badala ya suluhu ya amani.

Nguzo muhimu ya jeshi ni Military Inteligency unit. Hii brain of jeshi. Muscles bila brain ni ng'ombe. Kazi ya leo Urusi, naona ni ufanisi wa MI ya Urusi.
Comment Bora kabisa hii[emoji4][emoji106]
 
Niliwaambia wekeni akiba ya maneno hamkutaka kusikia, poleni sana kwa furaha yenu kutofikisha hata masaa 24

Alafu na yule alisema yupo kijijini hakuna network, eti leo gafla anapata network bila tatizo lolote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ndo maana Wagner kumbe walipita kote uko Bila kubughudhiwa[emoji38]
Unajua Putin naye sio mjinga, anajua fika ana wapinzani wa ndani wangeungana na Wegner.
Lakini si walianza kuharibu barabara kwa magreda?
 
Tumia akili

Na usilazimishe fikra zako dhaifu zipenye katika kundi la watu, Naona unatumia nguvu nyiiingi kudisplay kitu ambacho hakipo.

Tunaweza kukuelewesha Lkn kuhojiana na wewe hapa Ni kupoteza Muda kabisa. Hili linatosha
huon ukiliz wako , nmeuliza swali , ww unajibu swali lako mwenyew , kwann usijiulize hlf ujib swal lako ? , bado unaandika paragraphs kutetea utoto wako ? Ndio maana nmekuuliza umeelewa swali ? jithidi kuwa unajib kama swali linavyotaka km huez unapita hv ....
 
Back
Top Bottom