Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Ebu fafanua jirani @ DeepPondMbinu za kivita hizi,
Ukraine anaingizwa mkenge[emoji16]
Sasa hapa USA utampenda atawapa financial na suport ya kijesh mpaka mrusi Apagawe.Kuhusu silaha hujui kuwa wameteka vituo vya jeshi kadhaa kwenye majiji tfauti tena bila upinzani?
Unafikiri wamekurupuka?
Hawa wana nguvu nyuma yake
Mkuu thetowerofbabel una post pumba zako toka wapi? Njoo ujibu Wagner na Prigo wako wapi kwa leo?basi wewe umeanza kufuatilia hii issue leo ndo shida yako
Mkuu Bams na wewe uliingia chaka na Prigozhin?Israel ina askari wangapi? Zile nchi zote za Kiarabu zilizoungana ili kumpiga myahudi, lakini zikatandikwa zote, zilikuwa na askari wangapi? Zilikuwa na ndege ngapi? Vifaru na mizinga mingapi?
Ushindi katika vita ni zaidi ya idadi ya askari. Wale wapiganaji wa Wagner, ni really professional, siyo kama wale wa jeshi la Urusi.
Mdusi94 bado huo muda haujafika?Ok muda utaongea , vita si idadi , vita ni mipango tu , mtu kufanya maamuz ya kuwakabir hao 1m ashaona kuwa kuna watu wake humo au inaeza akawa kakurupuka , ila naamin huyo muwagner analijua jeshi la urusi kuliko mimi na wewe
Mbona wewe ndio ulikua unaota?
Huyo jamaa kuna muda nashindwa kumuelewa.Sijakuelewa bado, Kwahiyo Putin anavyouwa na kumwaga damu zisizo na hatia huwa unapata wakati mzuri sana?
Kuna watu kupitia ushetani huu nimeamini Tanzania tatizo la afya ya akili ni serious case.Huyo jamaa kuna muda nashindwa kumuelewa.
Walifanya Ugaidi wapi?Chechens, yaani yale magaidi.
Wanaelekea wapi muda huu ..Ila nyie ni wajinga sana .. haya wamefika wapi!!?Ristov ni sahihi... wegner wanamiji miwili mpaka mchana huu na wanaelekea moscow
Mimi ni mrusi mkuu niliandika kuwa kwa muda ule walifika rostovWanaelekea wapi muda huu ..Ila nyie ni wajinga sana .. haya wamefika wapi!!?
Ficha ujinga wako... Nipe taarifa wamefika wapi..Sijui kwanini mpaka sasa hawawaungi mkono.
Kuwa updated na habari mzee.Sasa hapa USA utampenda atawapa financial na suport ya kijesh mpaka mrusi Apagawe.
Kwa taarifa zilizopo wamesitisha uasi, hawaelekei popote.Ficha ujinga wako... Nipe taarifa wamefika wapi..
Wabongo wa nini? Mnaokariri mambo. Wasiongee walio against na wewe tayari wabongo. Ila ukiongea wewe ni mzungu?. Ongea basi wewe mzungu unaeaminika,unaemjua Putin,unaeyajua ya duniani peke yako tukusikie. Kenge weKwaiyo Wewe una mjua putin vizuri kuliko yeye wabongo bhana
[emoji28][emoji28] leo wameenda shamba [emoji28]Jana tumeshuhudia members wote 30 wa nato ndani ya Jf na washirika wao wengine zaidi ya 25 wakiwa active kwenye uzi wakimsupport Prigo mzee wa gomba. Hadi mu estonia flani aliedai yuko busy shambani jana alikuwa anashusha mchango kila baada ya dk kadhaa[emoji3][emoji3]. Kweli nato Jf ina washirika wengi sana sikutegemea
Nadhani Hata handle ya LIVE kwenye uzi huu haina maana Tena. Iondolewe
Uasi umesitishwa, hili sio tukio mubashara tena. Upo sahihi.Nadhani Hata handle ya LIVE kwenye uzi huu haina maana Tena. Iondolewe