Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Kuhusu silaha hujui kuwa wameteka vituo vya jeshi kadhaa kwenye majiji tfauti tena bila upinzani?
Unafikiri wamekurupuka?
Hawa wana nguvu nyuma yake
Sasa hapa USA utampenda atawapa financial na suport ya kijesh mpaka mrusi Apagawe.
 
Israel ina askari wangapi? Zile nchi zote za Kiarabu zilizoungana ili kumpiga myahudi, lakini zikatandikwa zote, zilikuwa na askari wangapi? Zilikuwa na ndege ngapi? Vifaru na mizinga mingapi?

Ushindi katika vita ni zaidi ya idadi ya askari. Wale wapiganaji wa Wagner, ni really professional, siyo kama wale wa jeshi la Urusi.
Mkuu Bams na wewe uliingia chaka na Prigozhin?
 
Ok muda utaongea , vita si idadi , vita ni mipango tu , mtu kufanya maamuz ya kuwakabir hao 1m ashaona kuwa kuna watu wake humo au inaeza akawa kakurupuka , ila naamin huyo muwagner analijua jeshi la urusi kuliko mimi na wewe
Mdusi94 bado huo muda haujafika?
 
Huyo jamaa kuna muda nashindwa kumuelewa.
Kuna watu kupitia ushetani huu nimeamini Tanzania tatizo la afya ya akili ni serious case.

Yani mtu anafurahia mauwaji tena ya watu wasiokuwa na hata, huu kama si utaahira tuitaje?

Na yule mvuta bangi mnyaluko Yericko aliyekataa kutumia jina la Baba yake mzazi na kudandia ubini wa Nyerere eti kisa amewahi kuishi Urusi eti naye anashabikia ushetani wa Putiñi.
 
Jana tumeshuhudia members wote 30 wa nato ndani ya Jf na washirika wao wengine zaidi ya 25 wakiwa active kwenye uzi wakimsupport Prigo mzee wa gomba. Hadi mu estonia flani aliedai yuko busy shambani jana alikuwa anashusha mchango kila baada ya dk kadhaa😀😀. Kweli nato Jf ina washirika wengi sana sikutegemea
 
Ficha ujinga wako... Nipe taarifa wamefika wapi..
Kwa taarifa zilizopo wamesitisha uasi, hawaelekei popote.

Binafsi sioni kama ni jambo la kujivunia kwa mrusi yoyote humu sababu mpaka sasa ukweli ni kwamba hakuna anayejua what happened na lile jambo lilikuwa na tafsiri gani. Ukraine nao walipaswa kushangaa kuwa ni nini kinaendelea na si kushangilia. Ila kwa sababu ni uzalendo uchwara ni sawa tu.
 
Jana tumeshuhudia members wote 30 wa nato ndani ya Jf na washirika wao wengine zaidi ya 25 wakiwa active kwenye uzi wakimsupport Prigo mzee wa gomba. Hadi mu estonia flani aliedai yuko busy shambani jana alikuwa anashusha mchango kila baada ya dk kadhaa[emoji3][emoji3]. Kweli nato Jf ina washirika wengi sana sikutegemea
[emoji28][emoji28] leo wameenda shamba [emoji28]

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
emoji28.png
emoji28.png
leo wameenda shamba
emoji28.png


Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Nadhani Hata handle ya LIVE kwenye uzi huu haina maana Tena. Iondolewe
 
Back
Top Bottom