Kabisa kabisaNadhani Hata handle ya LIVE kwenye uzi huu haina maana Tena. Iondolewe
Hukumbuki walivyoua watu baada ya kujilipua kwenye Subway Train jijini Moscow na walivyoteka watoto katika shule moja huko Russia na tukio lililopelekea magaidi wote kuuliwa pamoja na watoto wote....!!!Walifanya Ugaidi wapi?
Vipi unachakusema mkuu tena?Putin akichomoka na hapa nitamuona noma
Magaidi tena?Chechens, yaani yale magaidi.
Uongo mtupu!Mapigano ya kwanza yameripotiwa kati ya wapiganaji wa Wagner na jeshi la Urusi katika mji wa Rostov. Wanajeshi wa Urusi walikuwa wameweka vizuizi vya barabarani lakini Wagner wamesambaratisha vizuizi hivyo. Wanajeshi 38 wa Urusi wamejisalimisha kwa wapiganaji hao. View attachment 2667271
Vipi bado unalakusema tena!!?Rostov ndiyo main ya Russia supply kwenda Ukraine
Rostov imechukuliwa na Wagner
Putin kwa maneno yake mwenyewe kasema Rostov hali ni ngumu sana
We unatokea huko ulipo unasema watakosa silaha
Kuna watu kupitia ushetani huu nimeamini Tanzania tatizo la afya ya akili ni serious case.
Yani mtu anafurahia mauwaji tena ya watu wasiokuwa na hata, huu kama si utaahira tuitaje?
Na yule mvuta bangi mnyaluko Yericko aliyekataa kutumia jina la Baba yake mzazi na kudandia ubini wa Nyerere eti kisa amewahi kuishi Urusi eti naye anashabikia ushetani wa PutiΓ±i.
Mkuu kushindwa ni kushindwa tu!! Ukiwa na maono na bila kushupaza shingo ni vyema ukakubali mashariti mapema kabla ya kushindwa huku ukiwa umeingiza hasara na wakati mwingineumeuawaPutin namkubali Sana hashindwi kirahisiView attachment 2667267
Mkuu, hata Armstrong wa Mwezini kaja bongo pia; cha Wamasai tu, hata wewe hukujua;Mwamba huyu hapa. Atawachapa sana Western. Vibaya sana. Hapa ame jidisguise huwezi mtambua. Alikuja bongo akaa na Wamasai mwezi mzima bila watu kujua
Sio kilakitu ufate dhana kuna vitu vingine kama uvijui ni bora kukaa kimya tu sio unaongea maneno yako ya kibange bange hapa. Hivi una uthibitisho unaweza nipa Kama uislamu ni kopy ya ukristo na uyahudi?. Kwanza hakuna dini inayoitwa ukristo duniani ni dhana tu kama una uthibitisho wa maandishi nipe kua kua ukristo ni dini. Pili Uislamu haumuabudu kiumbe nikimaanisha yesu mama yake kua eti ndio wakusamehe dhambi unawezaje kusema Uislamu ni copy , quran imetelemshwa ni uteremsho kutoka kwa mwenyezi Mungu biblia imeandikwa na watu waliokua wanaulizia habari za nabii yesu kipindi kashaondoka sio kitabu alichokuja nacho ni habari zilizokusanywa kwa kuuliza uliza watu ndio maana kuna injili ya Marko kuna ya luka kuna Mathayo nk. soma dini usizue mambo ya uongo watu kama ninyi na elimu yenu ya dhana hiyo ndio mpaka leo munakubali binadamu wa kwanza alikua nyani.Mkuu ukrsto umezaliwa ndani ya uyahudi kama dini mwenza na uislamu umekopi toka kwa wayahuudi na ukristo sababu hizo dini zilitangulia kabla ya uislamu au hujui mkuu...Wanaowachukia jews ni waarabu na waislamu au nadanganya.
Sikujua wakati ndo nlimpokea Airport?Mkuu, hata Armstrong wa Mwezini kaja bongo pia; cha Wamasai tu, hata wewe hukujua;
Kwahiyo mkuu kuna dini inayoitwa uislamu tu duniani na vitabu vya quran havijaandikwa na watu mkuu?????Ambao ulikuja baadae baada ya wayahudi na wakrsto kuanzisha dini na imani zao???Sio kilakitu ufate dhana kuna vitu vingine kama uvijui ni bora kukaa kimya tu sio unaongea maneno yako ya kibange bange hapa. Hivi una uthibitisho unaweza nipa Kama uislamu ni kopy ya ukristo na uyahudi?. Kwanza hakuna dini inayoitwa ukristo duniani ni dhana tu kama una uthibitisho wa maandishi nipe kua kua ukristo ni dini. Pili Uislamu haumuabudu kiumbe nikimaanisha yesu mama yake kua eti ndio wakusamehe dhambi unawezaje kusema Uislamu ni copy , quran imetelemshwa ni uteremsho kutoka kwa mwenyezi Mungu biblia imeandikwa na watu waliokua wanaulizia habari za nabii yesu kipindi kashaondoka sio kitabu alichokuja nacho ni habari zilizokusanywa kwa kuuliza uliza watu ndio maana kuna injili ya Marko kuna ya luka kuna Mathayo nk. soma dini usizue mambo ya uongo watu kama ninyi na elimu yenu ya dhana hiyo ndio mpaka leo munakubali binadamu wa kwanza alikua nyani.
Afu mkuu suala la kitabu cha Quran kutelemshwa ni adithi za kufikirika zisizo na ushahidi ili kukwepa wanahoji suala la Quran kukopi vitabu vya simulizi za wayahudi wanaviita Torati....Quran ni masimulizi ya kale ya jamii za waarabu ambayo yamekopi simulizi za kale za jamii za wayahudiSio kilakitu ufate dhana kuna vitu vingine kama uvijui ni bora kukaa kimya tu sio unaongea maneno yako ya kibange bange hapa. Hivi una uthibitisho unaweza nipa Kama uislamu ni kopy ya ukristo na uyahudi?. Kwanza hakuna dini inayoitwa ukristo duniani ni dhana tu kama una uthibitisho wa maandishi nipe kua kua ukristo ni dini. Pili Uislamu haumuabudu kiumbe nikimaanisha yesu mama yake kua eti ndio wakusamehe dhambi unawezaje kusema Uislamu ni copy , quran imetelemshwa ni uteremsho kutoka kwa mwenyezi Mungu biblia imeandikwa na watu waliokua wanaulizia habari za nabii yesu kipindi kashaondoka sio kitabu alichokuja nacho ni habari zilizokusanywa kwa kuuliza uliza watu ndio maana kuna injili ya Marko kuna ya luka kuna Mathayo nk. soma dini usizue mambo ya uongo watu kama ninyi na elimu yenu ya dhana hiyo ndio mpaka leo munakubali binadamu wa kwanza alikua nyani.
Wagner wamesema lengo lako ilikuwa ni kuwajua mashabiki maandazi pamoja na maadui wa kweli na wale marafiki wanaa wa Motherland/Fatherland Moscovischt/Russia πππWapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE.
Huu Uzi nitatoa update ya kila kinachoendelea.
=====
Update: Maafisa wa Ukraine wasema watatumia 'mapinduzi ya kijeshi' nchini Urusi kurejesha eneo lililochukuliwa
Katika tishio moja kwa moja kwa mamlaka ya Putin, Yevgeny Prigozhin, kiongozi wa Wagner, aliishutumu jeshi la Moscow kwa kupiga bomu askari wake na kudhibiti jiji muhimu la Urusi mapema asubuhi.
Kiongozi huyo mwenye msimamo mkali wa jeshi binafsi maarufu zaidi ulimwenguni aliahidi kwenda kwenye mji mkuu kwa kulipiza kisasi.
Katika hotuba isiyokuwa ya kawaida, Bwana Putin alilitaja tukio hilo kuwa "uhaini" na akasema wale wanaounga mkono vitisho na njia za kigaidi watapata adhabu isiyoweza kuepukika.
Rais wa Ukraine, Zelensky, alivunja ukimya na kusema kuwa hii ni mfano mwingine wa "udhaifu kamili wa Urusi".
=====
Mamlaka katika eneo la Lipetsk nchini Urusi waagiza watu kubaki nyumbani
Mamlaka katika eneo la Lipetsk nchini Urusi walitoa wito kwa watu kubaki ndani ya nyumba zao kwa sababu za usalama.
Walitoa onyo hilo kutokana na ripoti kuwa wapiganaji wa Wagner walikuwa wakitumia eneo hilo wakati wa safari yao kuelekea Moscow.
=====
Wagner wateka makao makuu ya jeshi la Urusi ukanda wa Kusini
Gavana wa Voronezh, nchini Urusi alisema Jumamosi kuwa huduma za dharura zilikuwa zikijaribu kuzima tanki la mafuta linalowaka katika kituo cha mafuta.
Zaidi ya askari zimamoto 100 na vifaa 30 vya kuzimia moto walikuwa wakifanyia kazi katika eneo hilo, alisema Gavana Alexander Gusev kupitia Telegram.
Awali Jumamosi, chanzo cha usalama nchini Urusi kiliiambia Reuters kuwa wapiganaji wa Wagner walidhibiti vituo vya kijeshi katika jiji la Voronezh, umbali wa kilomita 500 (maili 310) kusini mwa Moscow. Reuters hawakuweza kuthibitisha madai hayo.
=====
NDEGE YA RAIS YADAIWA KUONDOKA MOSCOW, WAGNER WAKIDAIWA KUKARIBIA MJI
Inadaiwa Wapiganaji wa Wagner wameendelea na mapambano na sasa wamefika katika Mkoa wa #Lipetsk, takriban Kilometa 450 kutoka Moscow
Aidha, inaelezwa kuwa Ndege za Kivita za Urusi zimeshambulia misafara ya Wapiganaji wa #Wagner na tayari Wanajeshi wameshajipanga katika nafasi za kuulinda Mji Mkuu, Moscow
Kiongozi wa Wagner, Yevgeny #Prigozhin amedai kuwa Wapiganaji wake wamepokelewa kama 'Wakombozi' na kuwa waliweza kuchukua Makao Makuu ya Kijeshi huko #Rostov bila mapigano
Katika hatua nyingine, imeelezwa kuwa Ndege ya Rais imeonekana kuondoka #Moscow, hata hivyo Ikulu imedai kuwa Rais #Putin bado yupo katika Mji Mkuu huo
Wagner wasitisha kwenda Moscow wakidai hawawezi kumwaga damu ya Warusi
Kiongozi wa kundi la Wagner amesema kwenye chanel yake ya Telegram kwamba wamekubaliana kuacha kupeleka vikosi vyake Moscow.
Prigozhin amesema wapiganaji wanarejea kwenye kambi za Ukraine na hawataki kumwaga damu za warusi.
Makubaliano ya ghafla ya kuondoa hali ya sintofahamu yanakuja baada ya kiongozi wa Beralus, Alexander Lukashenko kufanya maongezi na Prigozhin kulingana na channel ya Kirusi ya Rossiya 24
Putin kacheza mchezo na umeenda kama walivyo panga yeye na Rafiki yake.Kwa taarifa zilizopo wamesitisha uasi, hawaelekei popote.
Binafsi sioni kama ni jambo la kujivunia kwa mrusi yoyote humu sababu mpaka sasa ukweli ni kwamba hakuna anayejua what happened na lile jambo lilikuwa na tafsiri gani. Ukraine nao walipaswa kushangaa kuwa ni nini kinaendelea na si kushangilia. Ila kwa sababu ni uzalendo uchwara ni sawa tu.
Pia mkuu kama ukrsto ni dhana tu basi hata uislamu ni dhana tu na kila dhana ina mapokeo yake..Wakrsto mungu wao ni Yesu pamoja na Baba yake mungu wa kiyahudi aitwae Yehovah..Afu waislamu mungu wao ni mungu wa kiarabu aitwaye Allah na nabii wake Muhamad.....Dini yoyote duniani ni dhana tu ya kufikirika pasipo ushahidi wowoteSio kilakitu ufate dhana kuna vitu vingine kama uvijui ni bora kukaa kimya tu sio unaongea maneno yako ya kibange bange hapa. Hivi una uthibitisho unaweza nipa Kama uislamu ni kopy ya ukristo na uyahudi?. Kwanza hakuna dini inayoitwa ukristo duniani ni dhana tu kama una uthibitisho wa maandishi nipe kua kua ukristo ni dini. Pili Uislamu haumuabudu kiumbe nikimaanisha yesu mama yake kua eti ndio wakusamehe dhambi unawezaje kusema Uislamu ni copy , quran imetelemshwa ni uteremsho kutoka kwa mwenyezi Mungu biblia imeandikwa na watu waliokua wanaulizia habari za nabii yesu kipindi kashaondoka sio kitabu alichokuja nacho ni habari zilizokusanywa kwa kuuliza uliza watu ndio maana kuna injili ya Marko kuna ya luka kuna Mathayo nk. soma dini usizue mambo ya uongo watu kama ninyi na elimu yenu ya dhana hiyo ndio mpaka leo munakubali binadamu wa kwanza alikua nyani.
Mkuu hakuna mungu alieteremsha quran na hakuna ushahidi ya masimulizi ya muhamadi na kama alitunga utabishaje wakati hakuna ushahidi zaidi ya masimulizi kwa njia ya maandishi.Ukweli ni kwamba waarabu wa kale wakiongozwa na mtawala wao aliyekua na influence Muhamadi walikopi vitabu vya masimulizi ya kale vya wayahudi @ NenganiSio kilakitu ufate dhana kuna vitu vingine kama uvijui ni bora kukaa kimya tu sio unaongea maneno yako ya kibange bange hapa. Hivi una uthibitisho unaweza nipa Kama uislamu ni kopy ya ukristo na uyahudi?. Kwanza hakuna dini inayoitwa ukristo duniani ni dhana tu kama una uthibitisho wa maandishi nipe kua kua ukrist yto ni dini. Pili Uislamu haumuabudu kiumbe nikimaanisha yesu mama yake kua eti ndio wakusamehe dhambi unawezaje kusema Uislamu ni copy , quran imetelemshwa ni uteremsho kutoka kwa mwenyezi Mungu biblia imeandikwa na watu waliokua wanaulizia habari za nabii yesu kipindi kashaondoka sio kitabu alichokuja nacho ni habari zilizokusanywa kwa kuuliza uliza watu ndio maana kuna injili ya Marko kuna ya luka kuna Mathayo nk. soma dini usizue mambo ya uongo watu kama ninyi na elimu yenu ya dhana hiyo ndio mpaka leo munakubali binadamu wa kwanza alikua nyani.
Mpango wa putin na Rafiki yake ulikua kulipeleka jeshi la Wagner na silaha zao zote Beralus bila Ukrein kumshambulia na wamefanikiwa.na wapo ndani ya urusi.putin anaonekana ni dhaifu sana.