Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Walifanya Ugaidi wapi?
Hukumbuki walivyoua watu baada ya kujilipua kwenye Subway Train jijini Moscow na walivyoteka watoto katika shule moja huko Russia na tukio lililopelekea magaidi wote kuuliwa pamoja na watoto wote....!!!

Hao watu ni magaidi kabisa labda unawafahamu tu ila kwa sababu mnachangia imani basi unajifanya hufahamu.
 
Kuna watu kupitia ushetani huu nimeamini Tanzania tatizo la afya ya akili ni serious case.

Yani mtu anafurahia mauwaji tena ya watu wasiokuwa na hata, huu kama si utaahira tuitaje?

Na yule mvuta bangi mnyaluko Yericko aliyekataa kutumia jina la Baba yake mzazi na kudandia ubini wa Nyerere eti kisa amewahi kuishi Urusi eti naye anashabikia ushetani wa Putiñi.

Kwahiyo wewe unafurahia ushetani wa West??
 
Mkuu ukrsto umezaliwa ndani ya uyahudi kama dini mwenza na uislamu umekopi toka kwa wayahuudi na ukristo sababu hizo dini zilitangulia kabla ya uislamu au hujui mkuu...Wanaowachukia jews ni waarabu na waislamu au nadanganya.
Sio kilakitu ufate dhana kuna vitu vingine kama uvijui ni bora kukaa kimya tu sio unaongea maneno yako ya kibange bange hapa. Hivi una uthibitisho unaweza nipa Kama uislamu ni kopy ya ukristo na uyahudi?. Kwanza hakuna dini inayoitwa ukristo duniani ni dhana tu kama una uthibitisho wa maandishi nipe kua kua ukristo ni dini. Pili Uislamu haumuabudu kiumbe nikimaanisha yesu mama yake kua eti ndio wakusamehe dhambi unawezaje kusema Uislamu ni copy , quran imetelemshwa ni uteremsho kutoka kwa mwenyezi Mungu biblia imeandikwa na watu waliokua wanaulizia habari za nabii yesu kipindi kashaondoka sio kitabu alichokuja nacho ni habari zilizokusanywa kwa kuuliza uliza watu ndio maana kuna injili ya Marko kuna ya luka kuna Mathayo nk. soma dini usizue mambo ya uongo watu kama ninyi na elimu yenu ya dhana hiyo ndio mpaka leo munakubali binadamu wa kwanza alikua nyani.
 
Kwahiyo mkuu kuna dini inayoitwa uislamu tu duniani na vitabu vya quran havijaandikwa na watu mkuu?????Ambao ulikuja baadae baada ya wayahudi na wakrsto kuanzisha dini na imani zao???
 
Sio kilakitu ufate dhana kuna vitu vingine kama uvijui ni bora kukaa kimya tu sio unaongea maneno yako ya kibange bange hapa. Hivi una uthibitisho unaweza nipa Kama uislamu ni kopy ya ukristo na uyahudi?. Kwanza hakuna dini inayoitwa ukristo duniani ni dhana tu kama una uthibitisho wa maandishi nipe kua kua ukristo ni dini. Pili Uislamu haumuabudu kiumbe nikimaanisha yesu mama yake kua eti ndio wakusamehe dhambi unawezaje kusema Uislamu ni copy , quran imetelemshwa ni uteremsho kutoka kwa mwenyezi Mungu biblia imeandikwa na watu waliokua wanaulizia habari za nabii yesu kipindi kashaondoka sio kitabu alichokuja nacho ni habari zilizokusanywa kwa kuuliza uliza watu ndio maana kuna injili ya Marko kuna ya luka kuna Mathayo nk. soma dini usizue mambo ya uongo watu kama ninyi na elimu yenu ya dhana hiyo ndio mpaka leo munakubali binadamu wa kwanza alikua nyani.
Afu mkuu suala la kitabu cha Quran kutelemshwa ni adithi za kufikirika zisizo na ushahidi ili kukwepa wanahoji suala la Quran kukopi vitabu vya simulizi za wayahudi wanaviita Torati....Quran ni masimulizi ya kale ya jamii za waarabu ambayo yamekopi simulizi za kale za jamii za wayahudi
 
Wapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE.

Huu Uzi nitatoa update ya kila kinachoendelea.

=====
Update: Maafisa wa Ukraine wasema watatumia 'mapinduzi ya kijeshi' nchini Urusi kurejesha eneo lililochukuliwa

Katika tishio moja kwa moja kwa mamlaka ya Putin, Yevgeny Prigozhin, kiongozi wa Wagner, aliishutumu jeshi la Moscow kwa kupiga bomu askari wake na kudhibiti jiji muhimu la Urusi mapema asubuhi.

Kiongozi huyo mwenye msimamo mkali wa jeshi binafsi maarufu zaidi ulimwenguni aliahidi kwenda kwenye mji mkuu kwa kulipiza kisasi.

Katika hotuba isiyokuwa ya kawaida, Bwana Putin alilitaja tukio hilo kuwa "uhaini" na akasema wale wanaounga mkono vitisho na njia za kigaidi watapata adhabu isiyoweza kuepukika.

Rais wa Ukraine, Zelensky, alivunja ukimya na kusema kuwa hii ni mfano mwingine wa "udhaifu kamili wa Urusi".

=====

Mamlaka katika eneo la Lipetsk nchini Urusi waagiza watu kubaki nyumbani

Mamlaka katika eneo la Lipetsk nchini Urusi walitoa wito kwa watu kubaki ndani ya nyumba zao kwa sababu za usalama.

Walitoa onyo hilo kutokana na ripoti kuwa wapiganaji wa Wagner walikuwa wakitumia eneo hilo wakati wa safari yao kuelekea Moscow.

=====

Wagner wateka makao makuu ya jeshi la Urusi ukanda wa Kusini
Gavana wa Voronezh, nchini Urusi alisema Jumamosi kuwa huduma za dharura zilikuwa zikijaribu kuzima tanki la mafuta linalowaka katika kituo cha mafuta.

Zaidi ya askari zimamoto 100 na vifaa 30 vya kuzimia moto walikuwa wakifanyia kazi katika eneo hilo, alisema Gavana Alexander Gusev kupitia Telegram.

Awali Jumamosi, chanzo cha usalama nchini Urusi kiliiambia Reuters kuwa wapiganaji wa Wagner walidhibiti vituo vya kijeshi katika jiji la Voronezh, umbali wa kilomita 500 (maili 310) kusini mwa Moscow. Reuters hawakuweza kuthibitisha madai hayo.
=====

NDEGE YA RAIS YADAIWA KUONDOKA MOSCOW, WAGNER WAKIDAIWA KUKARIBIA MJI

Inadaiwa Wapiganaji wa Wagner wameendelea na mapambano na sasa wamefika katika Mkoa wa #Lipetsk, takriban Kilometa 450 kutoka Moscow

Aidha, inaelezwa kuwa Ndege za Kivita za Urusi zimeshambulia misafara ya Wapiganaji wa #Wagner na tayari Wanajeshi wameshajipanga katika nafasi za kuulinda Mji Mkuu, Moscow

Kiongozi wa Wagner, Yevgeny #Prigozhin amedai kuwa Wapiganaji wake wamepokelewa kama 'Wakombozi' na kuwa waliweza kuchukua Makao Makuu ya Kijeshi huko #Rostov bila mapigano

Katika hatua nyingine, imeelezwa kuwa Ndege ya Rais imeonekana kuondoka #Moscow, hata hivyo Ikulu imedai kuwa Rais #Putin bado yupo katika Mji Mkuu huo

Wagner wasitisha kwenda Moscow wakidai hawawezi kumwaga damu ya Warusi

Kiongozi wa kundi la Wagner amesema kwenye chanel yake ya Telegram kwamba wamekubaliana kuacha kupeleka vikosi vyake Moscow.

Prigozhin amesema wapiganaji wanarejea kwenye kambi za Ukraine na hawataki kumwaga damu za warusi.

Makubaliano ya ghafla ya kuondoa hali ya sintofahamu yanakuja baada ya kiongozi wa Beralus, Alexander Lukashenko kufanya maongezi na Prigozhin kulingana na channel ya Kirusi ya Rossiya 24
Wagner wamesema lengo lako ilikuwa ni kuwajua mashabiki maandazi pamoja na maadui wa kweli na wale marafiki wanaa wa Motherland/Fatherland Moscovischt/Russia 😂😂😂
 
Kwa taarifa zilizopo wamesitisha uasi, hawaelekei popote.

Binafsi sioni kama ni jambo la kujivunia kwa mrusi yoyote humu sababu mpaka sasa ukweli ni kwamba hakuna anayejua what happened na lile jambo lilikuwa na tafsiri gani. Ukraine nao walipaswa kushangaa kuwa ni nini kinaendelea na si kushangilia. Ila kwa sababu ni uzalendo uchwara ni sawa tu.
Putin kacheza mchezo na umeenda kama walivyo panga yeye na Rafiki yake.
 
Sio kilakitu ufate dhana kuna vitu vingine kama uvijui ni bora kukaa kimya tu sio unaongea maneno yako ya kibange bange hapa. Hivi una uthibitisho unaweza nipa Kama uislamu ni kopy ya ukristo na uyahudi?. Kwanza hakuna dini inayoitwa ukristo duniani ni dhana tu kama una uthibitisho wa maandishi nipe kua kua ukristo ni dini. Pili Uislamu haumuabudu kiumbe nikimaanisha yesu mama yake kua eti ndio wakusamehe dhambi unawezaje kusema Uislamu ni copy , quran imetelemshwa ni uteremsho kutoka kwa mwenyezi Mungu biblia imeandikwa na watu waliokua wanaulizia habari za nabii yesu kipindi kashaondoka sio kitabu alichokuja nacho ni habari zilizokusanywa kwa kuuliza uliza watu ndio maana kuna injili ya Marko kuna ya luka kuna Mathayo nk. soma dini usizue mambo ya uongo watu kama ninyi na elimu yenu ya dhana hiyo ndio mpaka leo munakubali binadamu wa kwanza alikua nyani.
Pia mkuu kama ukrsto ni dhana tu basi hata uislamu ni dhana tu na kila dhana ina mapokeo yake..Wakrsto mungu wao ni Yesu pamoja na Baba yake mungu wa kiyahudi aitwae Yehovah..Afu waislamu mungu wao ni mungu wa kiarabu aitwaye Allah na nabii wake Muhamad.....Dini yoyote duniani ni dhana tu ya kufikirika pasipo ushahidi wowote
 
Sio kilakitu ufate dhana kuna vitu vingine kama uvijui ni bora kukaa kimya tu sio unaongea maneno yako ya kibange bange hapa. Hivi una uthibitisho unaweza nipa Kama uislamu ni kopy ya ukristo na uyahudi?. Kwanza hakuna dini inayoitwa ukristo duniani ni dhana tu kama una uthibitisho wa maandishi nipe kua kua ukrist yto ni dini. Pili Uislamu haumuabudu kiumbe nikimaanisha yesu mama yake kua eti ndio wakusamehe dhambi unawezaje kusema Uislamu ni copy , quran imetelemshwa ni uteremsho kutoka kwa mwenyezi Mungu biblia imeandikwa na watu waliokua wanaulizia habari za nabii yesu kipindi kashaondoka sio kitabu alichokuja nacho ni habari zilizokusanywa kwa kuuliza uliza watu ndio maana kuna injili ya Marko kuna ya luka kuna Mathayo nk. soma dini usizue mambo ya uongo watu kama ninyi na elimu yenu ya dhana hiyo ndio mpaka leo munakubali binadamu wa kwanza alikua nyani.
Mkuu hakuna mungu alieteremsha quran na hakuna ushahidi ya masimulizi ya muhamadi na kama alitunga utabishaje wakati hakuna ushahidi zaidi ya masimulizi kwa njia ya maandishi.Ukweli ni kwamba waarabu wa kale wakiongozwa na mtawala wao aliyekua na influence Muhamadi walikopi vitabu vya masimulizi ya kale vya wayahudi @ Nengani
 
Back
Top Bottom