Wewe kwa ulipofikia unaweza usiamini kama ulikaa tumboni kabla ya kua na maneno ya kibli kiasi hiki utasema kukaa tumboni ni dhana tuMkuu kwa mtu mwenye akili hawezi kuamini vitu ambavyo havipo...Hakuna allah,hakuna malaika na hakuna ushahidi wa chochote zaidi ya simulizi...Bahati mbaya watu wakihoji waga wanauliwa au kutengwa na jamii
Mkuu kwahiyo kwenye Quran kuna flat screen,kuna social network,s kuna hypo jets,submsrine,s kuna sky tower's and ect.....??????Hahahaha dah! Unapoona malaika ,majini ,allah wote hawapo unaona wewe Ila alieiumba dunia kashasema kwenye quran kuna tunavyovijua na tusivyovijua na tusivyovijua ni vingi zaidi kuliko tunavyovijua na ndio maana wanasayansi wanagundua vitu karne ya 21 ambayo vimetajwa kwenye quran katika karne ya saba huko.
Duu ! Innalilah wa innailahi rajuun. Je unaamini kama kuna umati zimepita kabla yetu au ndio haujaona ni dhana tu ? Cha pili unaamini kuhusu manabii ( mitume ) wa mwenyezi Mungu walikuwepo au ndio huamin kwa kua hakuna ushahidi?Mkuu huyo aliyeumba yupo wapi mlete tumuone usitudanganye na wewe
Mkuu leta ushahidi Allah yupo wapi na ukimpata mlete tumuone ??????Ndio maana nakuambia Muhammad alikua muongo alitunga na kukopi kwengineWewe kwa ulipofikia unaweza usiamini kama ulikaa tumboni kabla ya kua na maneno ya kibli kiasi hiki utasema kukaa tumboni ni dhana tu
Tuliwambia humu hawa warusi wa BuzaHakumbuki kuna aliyemlea Gorbachev alitolewa pale kibingwa miaka ya 90.
Uchumi wa Russia ukadondoka mpk leo wanasuasua.
Hili litakua pigo la 2.
Mkuu unaona unaongea kiarabu afu wewe mbantu huoni huo ni mzigo na umasikini wa akili?????Dini ya uislamu inapromote uarabu na adithi za kutunga za waarabu wa kale.Na ukrsto unapromote uyahudi na adithi za kale za kutunga za wayahudiDuu ! Innalilah wa innailahi rajuun. Je unaamini kama kuna umati zimepita kabla yetu au ndio haujaona ni dhana tu ? Cha pili unaamini kuhusu manabii ( mitume ) wa mwenyezi Mungu walikuwepo au ndio huamin kwa kua hakuna ushahidi?
Mimi mwenyewe naungana na putin ardhi ya warusi lazima ilindwe kwa nguvu zote.Kuna watu kupitia ushetani huu nimeamini Tanzania tatizo la afya ya akili ni serious case.
Yani mtu anafurahia mauwaji tena ya watu wasiokuwa na hata, huu kama si utaahira tuitaje?
Na yule mvuta bangi mnyaluko Yericko aliyekataa kutumia jina la Baba yake mzazi na kudandia ubini wa Nyerere eti kisa amewahi kuishi Urusi eti naye anashabikia ushetani wa Putiñi.
Mkuu kipi bora kuifadhi sayansi ya ulimwengu na ushahidi upo???? Au kuifadhi adithi za kufikirika ambazo hazina ushahidi za waarabu na wayahudi????? Masikini ni yule anayekaririshwa adithi za kufikirika za waarabu na wayahudiKuhifadhi historia zilizotungwa na wazungu hii ndio shida yake unakua umebeba mzigo wa bure kabisa masikin!!
Hakuna hivyo vitu Ila ilishasema kama baadhi ya vitu ktk uumbaji kama mfano dunia inazunguka toka kulia kwenda kushoto ,kama juu kuna majabari yani mawe makubwa, au mwezi una mpasuko je karne hiyo kulikua kuna technology ya kwenda huko juu na mbona vitu vilivyokweli?Mkuu kwahiyo kwenye Quran kuna flat screen,kuna social network,s kuna hypo jets,submsrine,s kuna sky tower's and ect.....??????
Kilicho bora zaidi kusoma ili kujua aliekuumba hayo ya kuhifadhi historia ya sayansi unawaza pia ila ni starehe ya mda mfupiMkuu kipi bora kuifadhi sayansi ya ulimwengu na ushahidi upo???? Au kuifadhi adithi za kufikirika ambazo hazina ushahidi za waarabu na wayahudi????? Masikini yule anayekaririshwa adithi za kufikirika za waarabu na wayahudi
Sasa mkuu hao waandishi wa quran si walikua wanakaa duniani na waliona dunia inazunguka na waliona majabali na waliona mwezi.....Mimi nilidhani unasema quran ilisema kuhusu ndege,smartphone,flat screen,automatic cars,sky tower,s and ect......!!!!Muhammad kushindwa kumleta huyo allah tumuone hapo ndipo tunapomuona muongo mkuu.Na vitu vingi wakati anaanzisha dini yake alikopi kwa wayahudi na wakrsto wa kale.Hakuna hivyo vitu Ila ilishasema kama baadhi ya vitu ktk uumbaji kama mfano dunia inazunguka toka kulia kwenda kushoto ,kama juu kuna majabari yani mawe makubwa, au mwezi una mpasuko je karne hiyo kulikua kuna technology ya kwenda huko juu na mbona vitu vilivyokweli?
Sasa unanichanganya mkuu????? Kila dini ina mungu wake na duniani kuna dini 7500000...Na utasomaje vitu vilivyoandikwa bila ushahidi hasa vitabu vya waarabu na wayahudi mkuu???Kilicho bora zaidi kusoma ili kujua aliekuumba hayo ya kuhifadhi historia ya sayansi unawaza pia ila ni starehe ya mda mfupi
Dunia bado ndio hii je we ushawahi kuona au kuhisi inazunguka au kuhisi toka kipindi upo mdogo ulipoanza kua na akili?Sasa mkuu hao waandishi wa quran si walikua wanakaa duniani na waliona dunia inazunguka na waliona majabali na waliona mwezi.....Mimi nilidhani unasema quran ilisema kuhusu ndege,smartphone,flat screen,automatic cars,sky tower,s and ect......!!!!Muhammad kushindwa kumleta huyo allah tumuone hapo ndipo tunapomuona muongo mkuu.
Nilikuuliza swali naona hujajibu, je unaamini kama kuna umati zimepita kabla yetu na je unaamini kulikua na manabii maana umesema we mtu wa historiSasa unanichanganya mkuu????? Kila dini ina mungu wake na duniani kuna dini 7500000...Na utasomaje vitu vilivyoandikwa bila ushahidi hasa vitabu vya waarabu na wayahudi mkuu???
Mkuu hilo swali la kitoto,sababu hata mtoto anajua dunia inazunguka kabla hata muhamadi hajazaliwa....Kiufupi Quran ni adithi za kufikirika kama ilivyo torati na biblia hazina ushahidi...Hakuna Allah,hakuna malaika hakuna chochote na kama kipo kije tukione mkuuDunia bado ndio hii je we ushawahi kuona au kuhisi inazunguka au kuhisi toka kipindi upo mdogo ulipoanza kua na akili?
Mkuu unazungumzia umati wa jamii ipi duniani???? Jamii za wazungu au jamii za wachina au jamii za wabantu au jamii za wanubi au jamii za wahabeshi na wakushi na waamori au jamii za watu wa visiwa vya pasifiki au jamii za watu wa bara hindi au jamii za waarabu na wayahudi na waajemi au jamii za watu wa kule baadae pakaitwa south america??????? Unazungumzia umati wa jamii ipi kati hizo nilizokutajia hapo juu mkuu?????Nilikuuliza swali naona hujajibu, je unaamini kama kuna umati zimepita kabla yetu na je unaamini kulikua na manabii maana umesema we mtu wa histori
Je nani anavyovisimamia kuzunguka katika mpangilio wake pasi kugonganaMkuu hilo swali la kitoto,sababu hata mtoto anajua dunia inazunguka kabla hata muhamadi hajazaliwa....Kiufupi Quran ni adithi za kufikirika hazina ushahidi...Hakuna Allah,hakuna malaika hakuna chochote na kama kipo kije tukione mkuu
Nani anasimamia ?????Wewe umemuona???? Yupo wapi tuonyeshe mkuu?????Je nani anavyovisimamia kuzunguka katika mpangilio wake pasi kugongana
Wa jamii hizo zote unazijua wewe zilizopita je zipo au unaamini ndio tupo sisi tu wakipindi hiki tulipokua duniani ?Mkuu unazungumzia umati wa jamii ipi duniani???? Jamii za wazungu au jamii za wachina au jamii za wabantu au jamii za wanubi au jamii za wahabeshi na wakushi na waamori au jamii za watu wa visiwa vya pasifiki au jamii za watu wa bara hindi au jamii za waarabu na wayahudi na waajemi au jamii za watu wa kule baadae pakaitwa south america??????? Unazungumzia umati wa jamii ipi kati hizo nilizokutajia hapo juu mkuu?????
Je kuhusu manabii unawaamin walikuwepo au nayo dhanaNani anasimamia ?????Wewe umemuona???? Yupo wapi tuonyeshe mkuu?????