Wewe kwa ulipofikia unaweza usiamini kama ulikaa tumboni kabla ya kua na maneno ya kibli kiasi hiki utasema kukaa tumboni ni dhana tuMkuu kwa mtu mwenye akili hawezi kuamini vitu ambavyo havipo...Hakuna allah,hakuna malaika na hakuna ushahidi wa chochote zaidi ya simulizi...Bahati mbaya watu wakihoji waga wanauliwa au kutengwa na jamii