Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Hivi haiwezi kutokea uasi wa umma? Angekuwepo uraiani yule mpinzani mahiri bwana Nalvany hakika Putin angeondoka madarakani safari hii! Mana ingekuwa hapa uasi wa umma, khapo Prigozin, huku Nalvany, kule Ukrain.

Katika nchi za kijamaa huwa anakosekanika mwanzishaji wa harakati ila Nalvany huwa anampa changamoto sana Putini.



Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Sisi waislamu tunawaona mayahudi ni wabaya kuliko wakristo.La kushangaza wakristo wengi wanawaona ni ndugu zao kuliko waislamu.
Mkristo hana hiyo formula ya kumuona nani ni wa maana kuliko mwingine. Formula ya wakristo ni kujishusha, kunyenyekea na kukaa viti vya nyuma. Hayo mambo ya kumuona sijui nani ni ndugu yako zaidi hayo ni mafunzo yenu, hayapo kwenye Ukristo, wala Ukristo siyo kujiona bora kuliko wengine, hayo ni mafundisho yenu.
 
Mean while!!.
 

Attachments

  • 20230624_162757.jpg
    20230624_162757.jpg
    75.6 KB · Views: 4
Yale yale ya Gadaff,sasa hivi Wagner watakua wanapewa kila support na Marekani na Nato!!

Prigo anamjua vizuri sana Mzee Putin,Prigo ndiyo alikua anaonja chakula cha Putin kabla Putin hajala. Russia alipokua anawapo siraha Wagner,siraha hizo ndiyo wanazitumia kumchapia, Mzee Putin akichomoka kwenye hili,atakua komando kweli kweli, CIA,walishafanya calculations kabla hata ya vita kuanza kwamba,Putin atazama tu,mzima mzima,kiko wapi sasa??

Priga anajua kambi zote za kijeshi za Russia,Priga ndiyo atakua anawapa ramani wazee wa B 52 na watakua wanajipigia tu!

Mwisho wa siku, Mzee Putin ataenda akotwa chini ya handaki kama alivyokamatwa Sadam Hussein ,au chini ya karavati la daraja kama alivyokamatwa Gadaff!
 
Back
Top Bottom