HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Huenda ikawa hivyo, ila Wagner nao hapanaSo mwisho wake ni nini?Au ndo yale ya Roma na Mussollin.March on Rome 1922.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda ikawa hivyo, ila Wagner nao hapanaSo mwisho wake ni nini?Au ndo yale ya Roma na Mussollin.March on Rome 1922.
Endelea kufuatiliaHauko well informed kuhusu hili, sio kosa lakini.
AKhmat forces wapo Ukraine mpaka sasa.
Wagner ni worse kuliko Putin.Kama tu alivyokuwa Mussolini.Huenda ikawa hivyo, ila Wagner nao hapana
Pia baridi na chakula ni kikwazo unless biden afanye mazungumzo nao harakaKuna watu hawajui PMC hawawezi kusonga mbele maana hawana ndege vita hawana baadhi ya ammunition walizokuwa wanapewa na Jeshi. Hivyo cant fight RF.
Siku ikifika imefika tu hata wajichimbie bahariniWatafanyaje?
Ni swala la muda kabla madaraja hayajavunjwa
Ila waliomtumia kufika hapo watamuondoa maana ni expendableWagner ni worse kuliko Putin.Kama tu alivyokuwa Mussolini.
Hakuna Baridi sasa hivi ni summer time.Pia baridi na chakula ni kikwazo unless biden afanye mazungumzo nao haraka
Mkristo hana hiyo formula ya kumuona nani ni wa maana kuliko mwingine. Formula ya wakristo ni kujishusha, kunyenyekea na kukaa viti vya nyuma. Hayo mambo ya kumuona sijui nani ni ndugu yako zaidi hayo ni mafunzo yenu, hayapo kwenye Ukristo, wala Ukristo siyo kujiona bora kuliko wengine, hayo ni mafundisho yenu.Sisi waislamu tunawaona mayahudi ni wabaya kuliko wakristo.La kushangaza wakristo wengi wanawaona ni ndugu zao kuliko waislamu.
Kuhusu silaha hujui kuwa wameteka vituo vya jeshi kadhaa kwenye majiji tfauti tena bila upinzani?Kuna watu hawajui PMC hawawezi kusonga mbele maana hawana ndege vita hawana baadhi ya ammunition walizokuwa wanapewa na Jeshi. Hivyo cant fight RF.
Baridi ya wapi?Pia baridi na chakula ni kikwazo unless biden afanye mazungumzo nao haraka
Wanajisemea tu.Hakuna Baridi sasa hivi ni summer time.
Huyo mchekeshaji?Chechen leader says his forces are ready to help put down Wagner mutiny
Mchekeshaji Zelensky kila siku yupo visible na tunamuona front, lakini Ex-KGB na mjeshi kamili anazidi kuingia ndani ya bunker, huku swahiba wake akiikimbia nchi.Mbona wameogopa mapema?
Wangekomaa ka Zelensky
Sidhani kama hao Chechen wataweza kuwazuiaChenchen soldiers wanaingia Rostov mda huu kupigana na Wagner.