US dola imejaa mpaka inamwagika, hongera sana Samia, hongera mwigulu

Hamna maajabu ambayo raia wowote wa nchi nyasi kama Tanzania anaweza kufanya dhidi ya dollar ya marekani.

Ni wazungu wenyewe wametibuana effect yake ndio kama hivyo. Ni sawa tu na kipindi cha Corona demand ya mafuta ilishuka hadi -0% ikafikia mafuta tunanunua buku jero.
 
Kwa hili aloongea mtoa mada ni la kweli kabisaaa dollar haina thamani saivi mtaani
 
Mkuu USA ilishusha interest rate mpaka 4% kutoka interest rate ngapi?
 
Wameishushaje mkuu?
Tzs Imepanda pia dhidi ya currency nyingine?
Ksh na Ugsh zina thamani gani kwa Tzs kwa sasa?
 
The BRICS nations (Brazil, Russia, India, China, and South Africa) are increasingly influencing the depreciation of the U.S. dollar through several strategic economic and geopolitical actions:

1. De-dollarization Efforts
- BRICS countries have actively sought to reduce their dependence on the U.S. dollar for international trade. Initiatives like using local currencies for trade settlements, particularly between China and Russia, diminish the demand for the dollar on the global stage.
- The development of alternative payment systems, such as China's Cross-Border Interbank Payment System (CIPS), challenges the dominance of the U.S.-based SWIFT system, reducing the dollar's role in trade.

2. Diversification of Reserve Currencies
- BRICS nations are diversifying their foreign exchange reserves by holding assets in other currencies, such as the euro or the Chinese yuan. This reduces global reliance on the dollar as a reserve currency, undermining its value.

3. Trade Alliances and Currency Agreements
- BRICS nations are fostering trade agreements and alliances that prioritize non-dollar transactions. For example, agreements to settle oil and energy transactions in currencies other than the dollar, particularly by Russia and China, have decreased dollar demand in key global markets.

4. Establishment of the BRICS New Development Bank (NDB)
- The BRICS NDB provides an alternative to dollar-denominated lending institutions like the International Monetary Fund (IMF) and the World Bank. Loans from the NDB are often issued in local currencies, further reducing the reliance on the dollar.

5. China's Influence
- China's growing influence in global trade and its push for the yuan's internationalization significantly affect the dollar. For instance, the inclusion of the Chinese yuan in the IMF's Special Drawing Rights (SDR) basket increases its prominence as a global reserve currency at the dollar's expense.

6. Russia's Role in Commodities
- Russia's focus on trading energy and other commodities in non-dollar currencies (e.g., rubles or yuan) in response to Western sanctions diminishes the dollar's role in the energy market, historically a significant pillar of dollar dominance.

---

Effects on the U.S. Dollar:
1. Reduced Demand: With fewer transactions and reserves held in dollars, its value depreciates relative to other currencies.
2. Geopolitical Shifts: BRICS actions signal a move toward a multipolar global financial system, weakening the dollar's position as the sole global reserve currency.

While BRICS’ efforts alone do not fully explain the dollar's depreciation, their initiatives, combined with broader economic trends, contribute to the dollar’s gradual loss of global dominance.
 
Halafu unakuta nyumbani kuna mtu anamwita mume wangu na watoto wanamwita baba
na hapo hapo utakuta katika maisha yake hajawahi shika hata $50 ila yupo hapa kushangilia upuuzi asioweza hata kuuelezea.
 
Embu kuwa na shukrani jitihada za mama zimezaa matunda
Upunguze uchawa. Kwani kabla ya kuwa rais ilikuwa kiasi gani na baada ya kuingia ilikuwa kiasi gani na kabla ya kushuka hapo ilikuwa kiasi gani?
 
Hata William Ruto anamkubali Samia. Mnaobisha mtakufa kwa kijiba cha roho

 
Machadema yatanuna 😂😂
 
Lakini si nchi zote za Afrika zinaagiza zaidi?
Yes ila zinazidiana kwenye level za kuagiza kwa mfano nchi kama egypt na southafrica ni power house za africa wamejitosheleza kuanzia chakula na kwenye viwanda tofauti na nchi nyingi za africa, wapo kwenye ligi ya peke yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…