Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hili taifa kupata maendeleo ni ndoto maana linawatu wengi wajinga kama wewe, dola ilitoka 2300-2850 leo imeshuka 2550 unashangilia tena, waliosababisha ikapanda ni akikana nani? kama siyo ujinga wako unakusumbua.Hakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii,
Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=?
Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa?
Mama na akae mpaka achoke
NB:
Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza
Hawa UWT hata dola zenyewe hawajawahi kutumia wao huwa wanatumwa kuja kupostWapi huko zinauzwa za kumwaga??
Acheni uchawa jamani hii nchi ni kubwa watu wanapambana mchana na usiku maisha yabadilike lakini mifumo inawakataa kwani ni watu wachache wanafaidi katika mfumo huu,watu wenye koneksheniHakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii,
Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=?
Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa?
Mama na akae mpaka achoke
NB:
Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza
Ni wapumbavu snNaona umekuja kulazimisha msifiwe. Hakuna wa kuwasifia boss, lipeni machawa wawasifie.
Eheee kumbe rais anashusha dolla? kama ana uwezo huo basi aishushe ifike 1usd = 5 Tsh mpaka Shilingi tano ikaitwa DALA...rejea "Dala dala" nauli ilikuwa Tsh 5.Hakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii,
Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=?
Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa?
Mama na akae mpaka achoke
NB:
Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza
Mifumo imejaa matapeli tupuAcheni uchawa jamani hii nchi ni kubwa watu wanapambana mchana na usiku maisha yabadilike lakini mifumo inawakataa kwani ni watu wachache wanafaidi katika mfumo huu,watu wenye koneksheni
Nani alisababisha ikapanda? hawa watu ni wapumbavu sn huwa wanashangilia vitu vya kijinga, taifa la watu wapumbavu kama hili usitegemee maendeleo yoyoteCurrency value appreciation sio instrumental factor ya ukujaji wa uchumi, acha ushamba wewe... Kuna sababu nyingi sana zinazoweza kupelekea thamani ya sarafu kupanda ama kushuka ikiwemo uchumi wa nchi husika ya sarafu unayojilinganisha nao!
Kwanza unashingilia nini? Eti hakuna kama Samia, huyo Samia si alikuta $1 ni sawa na 2,370/=? Kwenye awamu yake hii ameipandisha mpaka 2,800/= haya leo hii imeshuka hadi 2,460/= halafu unaanza kumsifia?
Ndio Yale Yale ya kufuta bima ya toto Afya kisha kuirudisha halafu mnataka mpigiwe makofi.
Sijui kwa nini hatuongezi nguvu na kuboresha value chain yake...Korosho effect
Ni team laana hata siyo mapambioTeam Mapambio
Ikipanda watakuja na visingizio vya vita ya Ukraine na RussiaEheee kumbe rais anashusha dolla? kama ana uwezo huo basi aishushe ifike 1usd = 5 Tsh mpaka Shilingi tano ikaitwa DALA...rejea "Dala dala" nauli ilikuwa Tsh 5.
Nafikiri ChoiceVariable na makummers wenzie akina mwashamba wanaweza kutupa majibu ni akina nani waliipandisha au nini kilipekea $ ikapanda dhidi ya Tsh.Nani alisababisha ikapanda? hawa watu ni wapumbavu sn huwa wanashangilia vitu vya kijinga, taifa la watu wapumbavu kama hili usitegemee maendeleo yoyote
Sera nzuri za Prof.wa siasa na Uchumi ndio zimetufukisha huku π πNafikiri ChoiceVariable na makummers wenzie akina mwashamba wanaweza kutupa majibu ni akina nani waliipandisha au nini kilipekea $ ikapanda dhidi ya Tsh.
Mama is next level ,saizi imeshuka tena ππππHakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii,
Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=?
Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa?
Mama na akae mpaka achoke
NB:
Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza
Ni bora ufanye biashara ya "Forex"Yaani mitanzania ambayo haijasoma ndo kama hili litoa mada jinga kabisa .
ELIMU
Mnamo september ili kuvutia wawekezaji usa iliamua kushusha intrest rate hadi 4% na ilitabiliwa kabisa kuwa mwezi huu dola itashuka imefanya hivo dunia nzima kwa pesa zote isipokuwa chache sana kama zambia(wanamatatizo yao)
.
Uganda na kenya nao mama anaupiga mwingi? Mama anafanya kazi nzuri ila acheni kumchezea akili .
Nikuongezee angalia kuanzia tarehe 20 dolla itaanzapanda na tutarudi 2600.sababu ni kuwq kumekuwa na exaggeration ya information east africa .kama unabisha ikifika 2200 nunua dola 100 tu kisha nipime kwa hilo.nakuapia december tunafunga ikiwa 2500 hadi 2600.
Sikunyingine usikurupuke wachumi tumo humu.
Nj i 2350/= bwashee, Mama anatishaHili taifa kupata maendeleo ni ndoto maana linawatu wengi wajinga kama wewe, dola ilitoka 2300-2850 leo imeshuka 2550 unashangilia tena, waliosababisha ikapanda ni akikana nani? kama siyo ujinga wako unakusumbua.
Wacha yapasuke kabisaMachadema yatanuna ππ
Kabla hajaishusha, ilikokuwa imepanda huko nani aliipandisha?Kuna jamii imeumia sana humu, mpaka wengine wanatukana matusi ya nguoni humu, kisa tu mama ameinua uchumi wa Tanzania
Basi badooo, mtaumia sana
NA
Hakuna raisi aliwahi kuishusha us dola Tanzania tangu tupate uhuru isipokua Samia pekee
Ni yeye, wakamsemaaaa weeeee, sasa na saa hii tunasubiri wamsifu ila wanasema eti imeshuka yenyeweKabla hajaishusha, ilikokuwa imepanda huko nani kaipandisha?