US dola imejaa mpaka inamwagika, hongera sana Samia, hongera mwigulu

Ni kweli kabisa na sio mda mrefu yaani mwakani 2025- 2026 itarudi hiyo chenji ya zamani
Eti sh imepanda thamani what a joke
Kwa mauzo gani ya nje kwa ajira gani
 
Kwa hili namuunga mkono maana tulikuwa tunapata shida ya kuagiza bidhaa kutokana na uhaba wa dola.

Ila wale mawakala wa forodha waliopakia mzigo mwezi wa kumi na kumi na moja ni hasara tupu
 
Wa Tanzania ni shida sana, yaani mimi nimepongeza baada ya kushuka kama mlivyoponda baada ya kupanda, sasa tatizo nini? Mbona kama mnateseka?
 
Kwa hili namuunga mkono maana tulikuwa tunapata shida ya kuagiza bidhaa kutokana na uhaba wa dola.

Ila wale mawakala wa forodha waliopakia mzigo mwezi wa kumi na kumi na moja ni hasara tupu
Nani alisababisha ikapanda?
 
Duh nimecheka Leo jmn🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…