US dola imejaa mpaka inamwagika, hongera sana Samia, hongera mwigulu

Yaani naona wapinga maendeleo walivyoumia, sema nini? Mama anawajibu kwa vitendo tu

Kweli samia ni kiboko

Na kuanzia january tunanua petrol 1600/= kwa lita

Yaani mpaka mseme
kwamba hii usd inashuka tz tu
acha kujidanganya kijana usd inashuka karibu nchi zote ama na huko yupo huyo unaye mpigia mapambio
 
Kupanda ni sababu ya uzembe tumeshazoea ila kushuka asipewe mtu sifa za uongo maana yupo ofisini kwa miaka miwili na haikuwahi kushuka.
Kuna walikaa madarakani miaka 20 na ushee na hawakuwahi kuishusha hata mara moja,

Mama amejaribu sana
 
Unalaana wewe utaendelea kuongozwa na watu wa kuja mpka lini? kwenye ukoo/Wilaya/Mkoa wenu hakuna mwenye akili timamu anaweza kugombea mpaka muongozwe na mzanzibar?
Samia ni mtanzania, Tanganyika haipo, ikiwepo tutaangalia la kufanya
Ila kwa sasa habari ya mjini ni samia na dola kushuka, Mama kaupiga mwingi sana,
We endelea kulaani tu
 
Hata pound na euro zimeshuka
 
Ondoa mwigulu hapo
 
Nitashangaa kama mtu mmoja anaye ruka katiikati mwashamba asipotia timu hapa kupuliza saxafone
 
Ngoja silaha za mwendazake Laurence Mafuru ziishe muone . Mwigulu ni mweupe upstairs . Mtu anakopa kwenda kulipa deni at PHD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…