US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

Kuchapiwa ni Siri ya ndani
 
watu milioni 90 wote ni wanasayansi wa nuclear?
Hapana.

Watu milioni 90 talent pool kubwa sana kiasi npaka kushindwa kupata replacement ya waliouliwa.

Hiyo ndo ilikuwa pointi yangu.

Mfano, India ina watu bilioni 1.4. Pakistan ina watu milioni 200 na kitu.

Nani mwenye talent pool kubwa hapo?
 
Where is russia and china wkt iran inashambuliwa?
 
N
Mitambo ni hatua ya mwisho.

Cha msingi ni knowledge.

Knowledge is power. Mitambo ni fungible.

Na sitegemei uelewe hapo…..🤣
Ni hatari kupambana na mtu mpumbavu anayeamini kuwa kufa ni faida kwake.Hamas, Hezbollah viongozi wao wameshalamba mavumbi ya ardhi bado wanapambana . Ayatollah anayrjigamba kuwa ni dume ,wanadmizi wake wamelamba vumbi la ardhi,naye Yuko magichoni lakini bado anaamini araishinda izraep na America!!ni utahira uliyopotikiza kwa kweli
 
Na sisi wakitaka kulipua Bwawa la Mwalimu Nyerere tutalihamishia sehemu nyingine
 
Ule si msahafu una pass tu kirahis, takes time
Maybe wanayo but how effective is it?
Most of scientist wao wanasomeshwa nje ya nchi, so easy kuwajua na kuwafuatilia na vile wako wachache
Kwamba Iran hawakuwa na wanafunzi wa ndani wakati walikuwa na wataalamu, na sehemu za kufundishia kwa vitendo tena kwa usiri?
Kwamba walikuwa hawaweki video records, computer records, emperical data, n.k.?
What do you know about apprenticeship? Hakukuwa na apprenticeship ili kurithisha hiyo teknolojia kirahisi?
Unajua strategic partnership yao na Russia inahusu nini in details?
Je hawezi kukodi wanasayansi toka North Korea?
 
Sidhani kama watapewa hiyo nafasi yakurebuld kwani US na Israel wanachotaka ni kuondoa utawala uliopo,na kuweka iwe kama irak
 
Watafanyaje haya yote without west to know?

The momenr ume establish outside contact tayari ni mistake
Sisemi ni ngumu, but such plan ipo?

Maana last generation ilikuwa trained nje , tena european universities?

Sawa kuna kukuza talent pool ya ndani but itself haitoshi, is why walikuwa wanaajiri walimu wa mataifa mengine
Ikiwemo france, spain, UK sometimes kuja kufundisha vyuo vya ndani
And hiyo ni moja ya mistake yao,west knew

Kuwa na talent pool ni another thing, so they protect them?
 
Wewe unadhani kwanini Israel aliua wanasayansi wa Nyuklia , unadhani kila muiran ni mtaalamu wa hayo mambo ?
 
Kwangu mimi; either Marekani/Israel or Iran and his allies and proxies wanacho kisema any of them, kwangu ni habari njema. Iran awe kahamisha kabla ya mashambulizi ni habari njema, USA/Israel kashambulia vinu still ni habari njema ili vita iishe. Lengo la vita ni Iran asimilili nuclear power and weapons
 
Umoja wa kobazi duniani walifanya mkutano wao uturuki mada kuu ikiwa ni mzozo wa iran, mwenzao katika ukobazi. Nini maazimio yao ikiwa mwanachama mwenzao tayari katuangwa nyuklia zake, wana uwezo wa kijeshi kwa pamoja kumsaidia mwenzao?
Wavyaa kamba shingoni mnapata tabu sana,kamba zimewabana shingoni.Dunia imeendelea sio dunia ya zamani,ikiwa kuna nyumbq za ghorofa za kuhamisha kwa magari,washangaa mitambo kuhamishwa,viko viwanda vingi,vinahamishwa,washangaa kuhamishwa kwa mitambo,nchi nyingi za mashariki ya kati,zimeendelea sana,ukifika huko utashangaa.Acha kuvyaa kamba shingoni,inakubana mishipa ya fahamu,kwenda kwenye ubongo,pia acha kuvyaa vibuyu mguuni,unazalisha fungus,pia wanakuharibu akili,mfuate Yesu uvyae kobazi.
 
Shambulio la USA kwenye Nuclear Facilities ya Fordow limeleta madhara na kuharibu milango mitatu ya kuingilia, ila underground facilities ni intact hazijapata madhara yoyote, ndo maana hamna reaction yoyote ya nuclear hadi sasa


View: https://x.com/IranObserver0/status/1936628153621029041?t=goi8BLFgfC7NhZ7mIz9Ltg&s=19
 
Kwamba tusiamini wameuawa viongozi wa kijeshi na kiusalama? Kwamba ndege zitoke Marekani kwenda kupiga hewa pale Iran?

Kama wameja wanapolala makamanda na wakuu wa kijeshi washindwe kujua wametoa mitambo vya kutengenezea mabomu ya Nyuklia? Kwamba hiyo mitambo ni sawa na sindano mtu mmoja anabeba bila kujulikana kuwa amebeba nini?

Hakuna mzungu ndezi namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…