US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

Hata mimi ningehamisha muda sana!
Unakuwa boya kuacha sites ambazo ndio chanzo cha mzozo huo!
Mkuu kwanza kabisa vita ilikua ya kushtukiza mmno.... ua viongozi wote wa wajuu wa kijeshi na wanasayansi wa juu wa nyukilia..... hapo imetengenezwa panic

Kwa akili ya kawaida kabisa hapo maana yake hiyo tabaka iliyokua ina uliwa akili ya kwanza ni mikakati ya kujificha wasiuliwe..... leo ni siku ya 10 tu

Na kwa mtazamo wa kawaida kabisa ikiwa Israel lengo lao kuu ni vinu vya nyukilia unategemea hawakuwa wanafuatilia nyendo zote zinazojili kwenye hivyo vinu hivyo kuhakikisha hakuna kitu kinatoka?

Mind you that kuhamisha hii kitu ambayo ni permanent sio rahisi kama watu tunavyodhani unachukua tu na kuweka ndani ya kanzu na kusepa
 
hao ndo IRAN,kama unabisha kuhusu hili utaona jinsi watakavyokuwa wanaendelea kulalamika kwamba IRAN bado wanamiliki nuclear tupo hapa tunaangalia safari ya chizi US kwenda kuzurura ndani ya IRAN mwishowe anarudi nyumbani na makopo
 
Hayo mimi sijui ila Ugomvi wangu na jamaa yako ilikuwa ni pale aliposema mitambo ya nyuklia ilikuwa imeshahamishwa. Kati ya watu hapa JF niliokuwa nawaamini ni pamoja na yeye.

An intelligent person huwa haongelei vitu asivyovijua. Ila anatafuta kuvifahamu kwa kusoma au kuuliza.
 
Akili ndogo, unahamishaje mitambo mikubwa katikati ya vita? Mitambo ya nyuklia ni kijiko uhamishe kirahisi?
 
Sometimes kitu kama hujui Kwa nini usikae kimya tu! Mwisho wa siku unajidhalilisha tu!
 
Mimi na kuhakishia sio kila kitu mumsikie US na Israel sa we unaye jaribu kujifanya smart, hebu nipe wapi kuna Nuclear duniani ikapigwe isidhuru watu
Blaza,blaza...mwanaintelijensia mbobezi unaejua kisichojulikana na mashirika makubwa ya kijasusi duniani,,Iran alikuwa kwenye process ya kupata nuclear au alikuwa nayo viwandani? Au kahamidha kama ujasusi wako unavyonesha? 😂😂😂😂 Kumbe hata sisi tukiskia nchi jirani wanapanga kutushambulia, tunakimbia chap bwawa la Nyerere na kuhamisha umeme na mitambo ili Ngoma ikipigwa kuwe hamna kitu😂😂😂nieleweshe msomi wa chuo kikuu😂😂😂😂
 
😂😂😂😂Watakwambia hata sisi tunauwezi wa kuhamisha umeme pale bwawa la Nyerere ili tuufiche usipigwe bomu😂😂😂
Mbona post zako maemoji mengi sana mzee!?
Salama kweli!?
Hauwezi kusema unachotaka kukisema bila hayo maemoji?
 
Wewe unadhani kwanini Israel aliua wanasayansi wa Nyuklia , unadhani kila muiran ni mtaalamu wa hayo mambo ?
Najua ni stragegy ya kuizuia au kuipunguzia Iran uwezo kuendelea kuchakata ma urenium na kufikia bomu.

Lakini kauli ya Iran kwamba technologia wanayo tayari inaonyesha ni kitu wanaweza kuki duplucate kwa urahisi hata bila hao wataalam.

Itakuwa kama kukanda mandazi kwa kufuata recepies za kwenye makaratasi au youtube chanel.

Tutaona maana sisi washangiliaji wao wachezaji.
 
Eneo lililopigwa ni Iran, mambo ya hawajalenga kinu ni maneno ya mkosaji, yaani unapigwa ngumi unang'oka jino la nyuma unamponda mpigaji kuwa ngumi yake haijakung'oa meno ya mbele?
 
Eneo lililopigwa ni Iran, mambo ya hawajalenga kinu ni maneno ya mkosaji, yaani unapigwa ngumi unang'oka jino la nyuma unamponda mpigaji kuwa ngumi yake haijakung'oa meno ya mbele?
Ayatollah ali kamenei mungu wa wavaa kobazi kashikwa matterco na USA ndiyo maana kaanza kupendekeza wa rithi wake..

Kamenei kama kweli ni jemedari anatakiwa ajiue yeye mwenyewe kabla hajauliwa kifo cha aibu na makafir kupitia kivuli cha wairan wenyewe
 
Reactions: Tsh
Jipeni moyo Israel anawaita Ma Ayatolah wote
 
Na wewe unaamini kabisaa aisee
 
Sidhani kama watapewa hiyo nafasi yakurebuld kwani US na Israel wanachotaka ni kuondoa utawala uliopo,na kuweka iwe kama irak
Wao US wanasema kuoondoa utawala uliopo siyo lengo lao ila kuizuia isiwe na nuclear kwasababu za matamshi yao ya mara kwa mara na wao kujihusisha kufadhili makundi ya kigaidi.

Kama wange jikita kwenye uzalishaji umeme wa nuclear sidhani kama ingekuwa shida.

Ila wao walipotaka bomu, ndio marekani na israel wakaona akili zao hazija komaa kumiliki bomu hilo.
 
Iran wanapata wapi pesa,au sisi weusi tunachezewa akili hapa.
Walikuwa wanatumia pesa za mikataba ya kutokutengeneza nuclear wanazopewa na marekani kutengeneza nuclear.

Pia maokoto ya mafuta yao na silaha wanazouza kwa mataifa kama urusi na nchi zingine.
 
Na mionzi yote iliunguzwa haikuwahi kuvuja ikaathiri wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…