Siwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...
Nilisimama na mtoto mchanga
Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande
Nampisha mzee tuu!!!
Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
Dah roho hii, mungu akusameheSiwapishi hata...nakubali roho mbaya hyoo....nilisimama na mimba ya kesho kwenda kujifungua...
Nilisimama na mtoto mchanga
Mwanzo nilikua na roho nzuri..mnoo..Mimba starehe,matokea yake mtoto gari ikijaa asipande
Nampisha mzee tuu!!!
Nimefunzwa roho mbaya nilisimama kuanzia Mbagala mpk Bandariii...miguu hadi ilivimba nkaapa sitokaa nipishe mwenye mimba
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wanawake kuweni kama wavuta bangi, hao watu hupendana sana.
Hebu tupe ushuhuda wako moja tu juu ya hiliMkuu wanawake hawapendani kabisa, sijui kwa nini?mwanamke yupo tayari kumuona mwanamke anahadhilika na yeye yepo na ana uwezo wa kumstiri anao akauchuna.ivi mda nini nyie mke?nakazia Mada
Uzuri kusaidia sio lazima, inategemea na moyo wa mtuHuu uamuzi wako nao ni aina ya ujinga. Kwa hiyo wewe usiposaidiwa ndiyo husaidii wengine?!!
Kwahiyo siku hiyo kulikuwa na wajawazito wengi kwenye hilo basi, wanaume wote mkawapisha mpaka sit zikaisha ikabidi na wanawake wafanye hivyo!?tunasema kwa sababu wanaume wao kupisha ni kawaida. ila wakina mama kwa wakina mama ni nadra, tena anWeza kumsonya kabisa.
mkuu hii roho mbovu unadhani tunaikomeshaje.
Hiyo ina apply kwa anae amini tu! Huku kwingine ni jino kwa jinoUbaya hulipwa kwa wema.
Jino kwa jino masikini hali inya yake[emoji4] [emoji4] [emoji4]Hiyo ina apply kwa anae amini tu! Huku kwingine ni jino kwa jino
Mpaka nimekaa ujue nina hitaji la kukaa tayari!Kwa hili wanaume najua mtaivuta sana ngoma sababu nyie ndio mnaoiwamba.
Ila mwisho wa siku kila mwenye busara awe mwanamke au mwanaume basi atampisha tu mtu mwenye hitaji la kukaa.
Ndio inavyotakiwa hiyo.Haaaaaa Mkuu upooo?
Naona umenirukia kama mweweeeee. but siku zote ambazo napanda daldala sijawahi kumwona mwanamke anampisha mwanamke mwenzake especially wajawepesi na wenye watoto. Huwa naona sisi wanaume ndo tunakuwa wa haraka kuwapisha.
Nijuwacho, wanawake huwa wanapenda iwapo tu ...KIL MMOJA ANAKOTOKA ANATESWA NA WAMEKUTANA WANASIMULIANA... nje ya hapo hamna kituMwanamke mwenzako mjamzito anastahili huruma mpishe siti, upate thawabu.
Mwanamke mwenzako anamtoto mchanga, mpishe siti akae, upate thawabu
Ikitokea umekanyagwa bahati mbaya na mwanamke mwenzako usitukane na kuwa mtata, kuwa muelewa
daladala sio Hammer au V8.
Wanaume wenzagu katika hili, Mungu anatuona jinsi tulivyo na roho nzuri.
Leo nimeshuhudia wanawake wanne waliokaribu na mwenzao ambaye anamtoto mchanga wakiwa wamevuta midomo na kukunja ndita kuonyesha hawatampisha mwenzao. Hii ilipelekea mwanaume aliyekaa mbali kabisa ampeshe mwanamke huyo.
wanawake mjirekebishe aisee. maroho mabaya sio dili.
We mwenye huruma kwanini usimpishe mpaka unaanza kugusagusa watu hovyo!Haaaaaa haaaaa wakati akiingia mama mjamwepesi/mwenye mtoto mdogo wanawake wote wanaaangalia pembeniiiii kqama vile hawamwoni hafu wanafura kwa hasiraa balaaaa. Sasa hapo mguse ukimwambia ampishe mwanamke mwenzake utaoga mitusi hiyooooππππ
By da way Mkuu usisahau kwenda masjid
Hivi mwanaume mzima unalia umedanganywa na mwanamke! Tatizo hamtii maagizo!Katika ulimwengu huu hakuna kiumbe mwenye roho mbaya kwa binadamu mwenzie kama mwanamke. Na hii ndiyo maana ibirisi anawatumia sana kufanikisha mambo yake.
1. Alomdanganya Adamu kula tunda ni mwanamke - tena mke wake
2. Alosababisha Samsoni mwenye nguvu nyingi auawe ni mwanamke tena mke wake ...
Wanawake hawapendani, hawapendi hata wanaume ... akikupenda ujue kuna kitu kakiona kwako!
Hii nayo ni kalinan alikutuma kupewa mimba na mwanaume asiye na gari? c kiherehere chako tu