Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Ila kusema ukweli Superfeo ruti za nyanda za juu kusini kazikamata kwa muda mrefu bila kutetereka.
Lami ikikamilika Ludewa tunamsubiri.
 
Leo mji was Morogoro umemeremeta, Mabasi 20 yameingia kwa wakati mmoja, Samia kafungua uchumi, matajiri hawaogopi tena kufungua fursa kwa vijana kuajiriwa, hii ni baada ya Aboud Bus kushindwa kuingiza basi mpya tangu Magufuli awe Rais, kipindi cha Magufuli kampuni nyingi za mabasi zilifilisika.

Hongera Samia kwa kuanza kutujaza utajiri, wale wengine walitaka tuwe masikini na wanyonge
 
Kama huwez vumilia saa 3 bila kula ,siku moja kabla ya safari jinunulie hizo bites kaa nazo ule njian
Hivi hujioni hapa unampangia mtu cha kufanya au namna ya kuishi? Unajua ninahitaji nini katika hizo bites? Ni safari zote huwa zina maandalizi? Halafu, hii si mimi ninaanzisha, ni utaratibu upo, sema hapa nilikuwa ninapendekeza kuboreshwa kwa huduma tu. Yani bado upo kibongolala hivi kudhani unayofikiria ndiyo ulimwengu ulivyo? Eti huwezi kuvumilia, kwanini uvumilie? Kwa faida ya nani, wewe au Abood?
 
Back
Top Bottom