Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
Ubabe wa pesa.Kahodhi namba DXJ kuanzia 808-827
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubabe wa pesa.Kahodhi namba DXJ kuanzia 808-827
Sidhani hata kama basi 80 zimefikanimekuambia sehemu zake zote nazijua hayo mabus 300 siyo kweli. Ishu ibaki hivyo huu si muda wa kukuza mambo tunapaswa kuwa wakweli na kuachana na stori za vijiweni.
Unapo andika utajiri wa namna hii siku hizi umepitwa na wakati kwa nani.Utajiri wa hv umepitwa na wakati......
siku hizi watu wapo kwenye ma cypypto
Hatari sanaYap Mzigo ndo unaelekea Morogoro HQ mida hii Hapa Ubungo Fly Over
Hela za masheriti.
Alisikika mwananchi mmoja akiwa anapiga miayo.
Ndio hivyo ,hii niliyozungumzia ni marcopolo ile ikapiga mzinga hapo kati.Abood gari za mikoani ni ngalangala. Gari nzuri zipo route ya Dar Moro.
12×3=72?????Kila lisaa anatoa Tufanye Gari 3 Kwa masaa 12 itakua Gari 72 umeona hii!!
Kuna kugeuza baada ya kufikaRafiki kokote utakapokua hakuna Kampuni ambayo ina peleka Gari 72 Kwa siku Dar/Moro
Hapo ukute huna hata uhakika na chakula cha jioniUtajiri wa hv umepitwa na wakati......
siku hizi watu wapo kwenye ma cypypto
Kwanini wewe na familia yako msijenge viwanda ?Kiboko yake kafariki. Magu alikuwa anamchamba Nassoro Abood anavyotaka. Ikiwemo lile la kutoa mabasi kupeleka watu misibani huku viwanda kaua.
Hivi hujioni hapa unampangia mtu cha kufanya au namna ya kuishi? Unajua ninahitaji nini katika hizo bites? Ni safari zote huwa zina maandalizi? Halafu, hii si mimi ninaanzisha, ni utaratibu upo, sema hapa nilikuwa ninapendekeza kuboreshwa kwa huduma tu. Yani bado upo kibongolala hivi kudhani unayofikiria ndiyo ulimwengu ulivyo? Eti huwezi kuvumilia, kwanini uvumilie? Kwa faida ya nani, wewe au Abood?Kama huwez vumilia saa 3 bila kula ,siku moja kabla ya safari jinunulie hizo bites kaa nazo ule njian
Kijiwen kwetu ukiwa muongeaj sana kahawa unapewa bure na ikitokea umefululiza miez miwil kwa kiwango kilekile cha uongeaj bila ya kutega hata siku moja unakua na kiti chako rasm na naul unapewaHuku akingojea kununuliwa kahawa
Km za najimnisaAbood Anayo polo moja inaenda mwanza imechoka balaa ukipanda huwez kurudia tena
Hawa jamaa ukiwaona wanavyojazana upepo wa kupata fweza unaweza kujiona mzembe sanaHizo Cypyto zako zinapita thamani ya hayo mabasi? No Offense.