USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

Chakula tunaagiza sana tu, mfano nafaka tunaagiza kwa wingi tu kama mchele, mahindi, ngano n.k
 
Mkuu haupo makini, Kama ingekua hivyo tu basi Leo hii tungeamua tu shillingi 1 ya Tanzania ni sawa na dollar 1 ya marekani alafu hizo dollar bilion 43 tunazodaiwa zingegeuka kuwa sawa na sh.bilion 43 tu tena ingelipwa haraka tu kesho asubuhi. Unafikiri tunapenda kusikia kuwa pesa tunayodaiwa dollar bilion 43 ni sawa na trillion 97??
 
exchange rates znatengenezwa MANUALLY, kupanda ama kushuka ni uamuzi wa bodi tu na zpo nchi maskini vibaya mno zna ela yenye thamani kuliko dolar
Mimi naomba kujua hizo nchi maskini sana ambazo pesa yao Ina thamani kuliko dollar
 
Mwaka Jana 2024 tumwuza nje sana kuliko miaka mingine yoyote
Pia ndio mwaka ambao watalii wamekuja wengi kuliko miaka mingine yoyote. Hivyo jibu ulilotoa sio sahihi, mtafutie jibu sahihi
 
PESA ni uthibitisho wa namba tu haina uhusiano wowote na thamani, naweza nkanunua shati buku 2 na kutokana na maongezi yetu ya biashara nkakuuzia ilo shati 50k na ukaona kama thamani znaendana!
Pesa haina uhusiano wowte na thaman? Hivi unajua definition tu ya kitu chochote kiitwe pesa lazima kuwe na thamani

Ili iitwe pesa lazima kwa iwe na thamani. Labda huelewi maana ya thamani(value)
 
Bado tunampongeza janabi kwani anaenda turahishia upigaji nyie endeleeni kusema iyena iyena nani kama mama
 
Tuliambiwa kuna task force inayoshughulika na dollar kumbe hamna kitu
 
Napenda kujua hiyo kutoka 2800 Hadi 2100 ndani ya masaa kadhaa iliyotokea mwezi uliopita ilitokea wapi? Hapo ndio nataka kujua maana ni Jambo la ajabu sana
Ilitokea mwaka Jana mwezi wa 12,U.S central bank ililower interest rate,then $ ikawa weak,instantly information ilipotangazwa,by fed chair=Jerome Powell.
Haina uhusiank kabisa na kuimalika kwa shillingi😃😄😀😁
Ni phenomenon ya kawaida kwenye currencies kama EURUSD,USDCAD,USDCHF,USDJPY etc?
 
Hakuna mtu anayefanya kazi BOT,au aliyewahi fanya kazi BOT,akawa mjinga hivi
 
Majitu majinga majinga kama huyo ndio wanafanya tupate viongozi wa ovyo kwenye hii nchi
 
Hapa inazungummziwa official exchange na si black market. Official exchange haikuwahi kufika hiyo 2900
Mfano mafuta lita ni sh.3000 bei halali ya ewura, lakini wewe huko kwenu tu akakuuzia lita sh.5000 hiyo inakua ni yenu na si bei halali ya soko
Aah bas sawa, nimekupataa.
 
Ccm walivyo wapumbavu wanawajaza wachina nchini na kuwawekea kituo ubungo pale ili wamalizie kuuwa viwanda vya ndani vilivyobaki vibaki viwanda vya maji na juice tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…