Ushahidi wa Nyaraka na vielelezo kuhusu UZanzibar wa Rais Samia huu hapa

Miaka 60 hamkufanya kitu ndio iwe wiki moja ?
Huyo uliyemjibu hapo ana pointi; lakini pointi hiyo ilikwishapotezwa katika yooote yaliyofanywa katika miaka hii ya "Kero za Muungano" za upande mmoja kupamba moto; na hao hao akina Samia waliokuwa kwenye nafasi nzuri za kuzikabiri ndio wakawa wanazipalilia kwa kasi kabisa kero hizo.

Muungano wa 1964, haukuwa na lengo la kuzipigia chepuo hizi kero. Lengo lake lilikuwa kuzififisha kadri ya watu walivyozoeana katika muungano wenyewe. Ni hizo hizo zilizo itwa kero, sasa ndizo zinazo umaliza muungano.
 
KMKM na JKU ni wagambo tu. Usinipotezee muda.
 
Namabengo, Mtyangimbole, Namanditi, Mpitimbi, Chaburuma, Mtakanini,Matogoro, Likuyufusi??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Matimira, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juzi Paskal Mayala katoa hoja nzuri sana, kaandika humu, kwanini basi tusiwe na Serikali moja, kama huu muungano unatuchanganya?
 
Tatizo kubwa siyo uzanzibar tu. Unaweza kuwa mzanzibar na usiwe mpumbavu tatizo kuu lipo hapa
 
Kwq taarifa wazenji wanatamani tusiwe sehemu yao.
Vinganganizi ni ccm tu tena walamba miguu wa huko zenji
 
Unaongea upuuzi gani we bwege
 
Wana Sheria na sio Wana siasa. Mzee Shivji na Warioba
 
KMKM na JKU ni wagambo tu. Usinipotezee muda.
Ni wagambo Kwa Tanganyika Ila kwa Zanzibar Ni jeshi na Liko Responsible kwa Rais wa zanzibar..

Na hapa ndo Linapokuja Swala la watanganyika Kudhani wao Ni Bora kuliko Wazanzibar na hapa ndo huleta ubaguzi kati yao
 
Huyo ni raia wa oman, aache upuuzi
 
Nenda kasome aina tatu za muungano i.e union, federal na confederal, kisha ingiza muungano wetu humo , hautafit popote kisha utagundua haikuwa bahati mbaya kudesign hivi ulivyo ili kukosa njia ya kuuvunja. It is highly philosophical and genius.

Kwa kutumia akili ya Buza Mpalanger mtu huwezi kuelewa huu muungano milele. Katika hili nakubali Nyerere was a philosopher japo ameondoka bila kuelewa ujamaa ni ideology ya kufikirika tu na ni ujinga alioupandikiza kwa mamilioni ya watu. By nature any human being is selfish and capitalist, na capitalism (investment) pekee ndio huleta prosperity through exploitation of the strongest upon the weak. Yaani mf Mimi nijitume shuleni kisha kazini huwezi kunipa ujira sawa na mbumbumbu na mtu mvivu. (ujamaa).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…