Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Kwa Elimu ya sasa tunayopata ni ngumu sana kumuelewa Gentamyacine, ila binafsi naungana naye kwamba Mh. Makonda akaze uzi tu.
Ila nakumbuka Mh. huyo mkuu wa Mkoa alishawahi kutoa tamko la kuondosha madanguro kwenye mkoa wake naming nail hilo alishamaliza tumuunge mkono
 
Kwa huu mwandiko wako, naona huzipendi kucha zako.
Shukuru Mungu wanaoelewa including DAB ni wachache.
 
Mkuu Genta umegonga mule mule...
Nakumbuka siku ameteuliwa na kuapishwa ukuu wa mkoa.. Aliita wenyeviti wa mitaa akaweka wazi mipango yake mubashara. Siku hiyo hiyo niliwaambia rafiki zangu huyu kijana amefeli kabla hajaanza. Walinibishia sana, na wengine walinitukana ati nina wivu na kijana huyu RC shupavu. Basi nafikiri hapa umempa somo.
 
Huu uzi wa kikuda ,hongereni nadhani mnaingiza riziki kuuweka hewani.
 
Kama siku hizi unakula kwa mama lishe mpya basi asiache kula hapo unatema sana madini
 
Nimekuelewe mkuu [emoji120][emoji120]ndio maana wanasema kuusaka ukweli ni sawa na kumenya kitunguu kila ganda litakutoa machozi ni sawa ma faili yaliyorundikana je utaghairi kuyafunua?je,ukifika kwenye kiini nini utagundua? Gentamycine
 
Mtani hiyo avatar imekuambukiza kitu atii

Kwanini Mtani? Huyo Jamaa ( Benjamin Netanyahu a.k.a Bibi ) Waziri Mkuu wa nchi ninayoipenda ya Israeli nampenda kuliko maelezo na kubwa zaidi Jamaa ni ' Genius ' hasa halafu shujaa, mbabe, haogopi na anachukia sana Unafiki na siku zote Yeye huwa ni Mtu wa Kunyoosha tu hapendi kona kona au pinda pinda. Ila kubwa zaidi namkubali kwakuwa ni mmoja kati ya ' Majasusi / Manjagu ' hatari na wa ukweli waliowahi kutokea katika nchi ya Israeli halafu kapambana katika Vita kadhaa vikubwa na kabambe vya kuitetea nchi yake na Wayahudi wenzake.

Ukiona nampenda na namkubali Mtu jua nimeshampima, mfuatilia na nimeridhika nae 100% kwa kila kitu chake Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…