Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Nikisoma bandiko lako huwa nasoma kwa mtazamo wa mwingine kabisa.

Nimeelewa ni nani anayesemwa hapa na si Makonda.
 
Oyaaaaaa
Kwani hukuona lile gari waliloingia nae
Mheshimiwa alikaa mbele.. sema umekuja kuyaandika eti ili Rais asome humu.

Hata Kiongozi mpendwa wa wananchi anasikika akinwambia DAS nae awahi.. ot maneno hayo hukuyasikia..hujui hapa kazi tu.. ulitaka akae kwa foleni huku ana majukumu mengine!!!

Naona wivu juu yake ulikausha kwa muda umerudi tena.. Basi siku ingine muombe akutambulishe wewe kama ndicho unachotaka
 

Wewe ndio humjui! Mi naamini Makonda anamjua zaidi kuliko wewe, ndio maana amepewa mkoa aongoze. Wacha kujipakatisha.
 
Mtu amekuja Dar akashukia Ubungo na mabegi yake, lakini anasema Dar ni mkoa wake!!!!!!!!!!!
 
Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
 

Diamond anawekeza kwenye jiji la dar wewe unawekeza kwenye majungu, Diamond anaitangaza Tanzania kimataifa na kesho kutwa anaenda kuipeperusha bendera ya Tanzania huko Russia, wew umekalia kupeperusha majungu jf..

 
Punguza ujinga Mwanamke.
 
Kwako Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda
Habari!
Kwanza nakupongeza kwa jitihada zako za dhati katika kuboresha hali za wananchi wako wa mkoa hata mikoa mingine ya nchi hii.
Jambo kubwa leo ni jinsi unavyotaka kuwasaidia wakina mama, na dada zetu waliochiwa mzigo mkubwa wa ulezi wa watoto huku wanaume zao wakitokomea kusipojulikana. Hili ni jambo kubwa sana, nchi za wenzetu zilizoendelea zimewekeza kwenye tafiti kufahamu changamoto kama hizi za jamii.
Ila leo nataka nikukumbushe jambo moja; si kila mwanamke aliyeachiwa watoto amekimbiwa na mwanaume....sehemu zingine ni mwanamke aliyeamua kukimbia na mtoto. Kwani huoni watu wakijivunia 'Single mothers'
tena kuna redio moja hapa nchini ilifanya mpaka sherehe kufurahia wao kuwa hivo. Kwa hakika, tutaona na kusikia mengi katika zoezi hili. Kwakuwa unashirikisha watu wa ustawi wa jamii, tungeomba kupata ripoti ya zoezi zima.
Mifano iko mingi, kuna mwanamke mmoja amezaa na kaka yangu. kamkimbiza mtoto Nairobi. Hivi sasa hana kazi anakuja kuomba mpaka nauli ya kumsafirisha mtoto...huku mwanzoni alikuwa na jeuri kubwa. Usikute hata huyu atakuja ofisini kwako pia.
kila la heri katika utekelezaji wa zoezi hili lenye changamoto kubwa.
 
 
Chadema watatetea kila aina ya uozo mwaka huu.

Majizi, mafisadi, mashoga, vibaka, wakwepa kodi, wavuta shisha wote mtetezi wao ni chadema!!!

Hii ndio maana ya chama kubadili gia angani.
KWELI VILAZA MKO WENGI. NAKUONA KTK UBORA WAKO. watu wanazngmza haya ww unakuja na yko kutoka kusikojulikana.
 
Haya sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…