Ushauri: Nimepewa RB kwa kosa la kufanya fujo kanisani

Kwa huu ushauri wako ungekuwa unanipatia mimi basi ningelipiga kiberiti hilo kanisa na mchocheaji wa hilo ni huu ushauri wako usiokuwa hata na chembe ya huruma kwa hao watoto wadogo sana.
 
Kwa ambao hawajasoma huu uzi ninawasihi wausome. Itawasaidia
 
Wote mme na mke walifanya uamzi sahihi.
 
Ila Kwa jinsi ulivyoandika kaka nahisi Hawa ni wale wale manabii wa uongo na Kuna dalili jamaa kama hakumegei mzigo anamtaka mke wako.mimi Nina IQ kubwa sana ya kuona mambo ya mbeleni.Tatizo kubwa ni pale mke wako alipoamua kurudia tena kule kanisani ulikomkataza asiende na huku akijua fika wewe ulishalala kwenye mtondoo.Kaka ukishafikia leveli hii unatakiwa uwe na busara sana.Mimi nataka nijitolee kukusaidia ila uje pm.kwanza mchukue beki tatu nenda name mahali mnunulie vitu anapenda hata kama ni kuku au nguo au Hela mwambie akupe ratiba za wife,pindi unapokuwa haupo nyumbani.unaweza kuwagombanisha Kiana lazima unajua mara nyingi beki tatu na mother house haziivaji.jambo jingine inabidi unipe locations ya Hilo kanisa niwe naenda hapo kinyemela Kwa lengo la kuwapeleleza ila nifahamu mambo yafuatayo
Kama mchungaji ana vibali
Kama ana mke
Kama ni mkongo mkenya au mnigeria
Kama anafanya genuine ibada ama ni mlaghai/mimi nishawahi kuchunga naifahamu
Nifahamu nyumbani Kwa huyo mchungajikaka
Kama mchungaji anaofisi karibu na kanisa
Na kama analala jirani na kanisa au la
Kama alisomea theologian au ni tapeli.
Ni sehemu gani anapenda kwenda
Mengine tutafanya baadaye nitakuelekeza ,mimi hapo daslamu nimekulia
 
Kuweni Waislam, hamtaki.

Hakuna makorokocho yote hayo, watoto ndiyo tunahimiza wazazi waede nao misikitini wapate uzoefu na kumjuwa Muumba wao.

Kelele na fujo za watoto ni furaha ya waumini wa kweli.
 
Kwanza ni Mungu gani huyo atakayesikia maombi ya mtu aliyetelekeza vichanga vyake Nyumbani bila maziwa? Hapo walikua wanatapeli watu tu na sio maombi hayo.
 
Kwe
Kweli kabisa.
 
Kwa huu ushauri wako ungekuwa unanipatia mimi basi ningelipiga kiberiti hilo kanisa na mchocheaji wa hilo ni huu ushauri wako usiokuwa hata na chembe ya huruma kwa hao watoto wadogo sana.
Kifupi Hasira hazilipi hata angeenda na mkuu wa Jeshi la Polisi angemwambia tukae nje wakimaliza ibada wakitoka tuwakanate nje lakini hata angekuwa IGP asingeingia kanisani au msikitini kumkamata

Ungechoma ni kesi ya mauaji Tena ya kukusudia.Kesi ya mauaji huchukua Hadi miaka 10 kuanza kusikilizwa ungenyea.ndoo Hadi ukome na mihasira Yako na mahakamani hupelekwi Kila siku waendesha mashtaka wanasema upelelezi unaendelea wanakuacha uoze huko mahabusu miaka 10 sababu bwege hujali wengine au kujijali mwenyewe kisheria wanakuacha uoze mahabusu sababu hata uhai wako mwenyewe huthamini Wala wa wengine Kwa mihemuko Yako ya kidini utafia mahabusu
 
Ushauri mzuri. "Counterattack intelligence techniques"
 
Kuweni Waislam, hamtaki.

Hakuna makorokocho yote hayo, watoto ndiyo tunahimiza wazazi waede nao misikitini wapate uzoefu na kumjuwa Muumba wao.

Kelele na fujo za watoto ni furaha ya waumini wa kweli.
Watoto wa nje ya ndoa yaani wanaharamu mwislamu aliyezaa hao wanaharamu anaruhusiwa kwenda nao msikitini?
 
Ulitaka atoe ziwa mbele ya mchungaji? All in all wanawake wanaosali katika hayo madhehebu ya kiroho ni kuwaogopa kama ukoma.

Wapo radhi wakupe sumu ufe, ila si kukosa hizo ibada uchwara.
Mzee nyboma kumbe upo mzee
 
Huyo Ni mwanaume au tausi au shoga mwanaume mnk mwanmume shoga hanaga msimamo
 
Yaani wee ni mouuzi kweli kweli
 
Huwezi kuwa “chawa” halafu ukawa na akili. Wewe huna akili
Kijana ulishawahi kupigwa kofi na anayekupiga humuoni? Dharau ushauri wangu utakuja kutuletea mrejesho hapa mkeo kazaa na mchungaji. Mi chawa wa Mama kweli kweli ila hapa nimekushauri ulinde ndoa yako. Na hivyo unavyomgombeza mkeo basi mafaili yote anapeleka kwa airdrop kwa pastor na pastor ana bluetooth hivyo wewe utaonekana mjinga usipoguata ushauri wangu poyoyoy mkubwa
 
Ndugu yangu.

Huyo mwanamke ama mke wako unapaswa kumuacha haraka sana kwa saabbu ameshaonesha uasi na atakupa taabu sana.

Huyo mchungaji ameshaingilia ndoa yako.

Tafuta mama wa kuwalea watoto wako.
Muache akailee madhabahu
 
Mm ni mlokole na nnafanya hicho alichokua anafanya mkeo,(kuombea watu madhabahuni) lakini Hilo kanisa sio mahali sahihi pa mkeo kuendelea kusali maana hawana heshima kwa ndoa, there is no way utamuheshimu mchungaji( mwanaume ) more than unavomuheshimu mumeo hata biblia inapingana na Hilo.......hata kama ulikosea methodology( hukutakiwa kufika na kuweka watoto madhabahuni, ungemuita mkeo nje ukampa watoto anyonyeshe) still wao wamekosea sana kukuzuia kuonana na mkeo......muondoe mkeo hapo
 
L
Labda sungusungu.
 
Acha uninga wewe. **** na mkuu wa nchi ndio kichukue masaa kumi. Ingekuwa watoto sio mhimu hata waajiri wasingekuwa wanawapa muda wazazi kwenda kunyonyesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…