Ushauri wa bure! Ukiwa mwanaharakati dhidi ya CCM usikimbilie nchi za Afrika Mashariki au Urusi au China. Nenda Marekani, UK au Nchi ya Umoja wa Ulaya

mnadanganyana sana, aliyekwambia huko huwa hawafanyiziwi ni nani? sema inategemea adui yako ni nani, hao hao wazungu wanaweza kukukamata na kukurudisha huko ukapewa kichapo, uliza maadui wa rwanda waliokimbilia huko ulaya kilichowapata …
You are deadly wrong
 
Maria kakosoa utawala wa magu na akawa salama!
Kamkosoa Samia Kawa salama!

Kajaribu kukosoa uenyekiti wa Mangi wamepita nae!
Uenyekiti wa CHADEMA una Nini? Kwanini kila anayejaribu kuchallenge anashughulikiwa namna hii?
Kwanini kila anayegombea uenyekiti wa Mbowe lazima aumizwe?
 
mnadanganyana sana, aliyekwambia huko huwa hawafanyiziwi ni nani? sema inategemea adui yako ni nani, hao hao wazungu wanaweza kukukamata na kukurudisha huko ukapewa kichapo, uliza maadui wa rwanda waliokimbilia huko ulaya kilichowapata …
Wapinzani wa Putin wanakimbilia UK na kupewa uraia ila wanafuatwa huku huku na kuuwawa tena kwa sumu
Wiki kadhaa kwaheri
Huwezi kuwa na amani popote
 
Unaenda Kenya hapo tu kwa wapenda rushwa muda wowote wanakuuza,nimeona X huko SATIVA alipewa miezi mitatu kukaa Kenya wakati anaendelea na taratibu za kupata permanent residence,sasa inaisha soon na hajapata mpya......sasa ameshatukana sana huku bongo,akirudishwa bongo huku si ndiyo basi tena 😀
 
Kwakweli hawa wanatulisha matango pori humu
Bora umesema ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…