Ushauri wa bure! Ukiwa mwanaharakati dhidi ya CCM usikimbilie nchi za Afrika Mashariki au Urusi au China. Nenda Marekani, UK au Nchi ya Umoja wa Ulaya

Kweli kabisa. Wanaoweza kula sahani moja na US/UK ni FSB. Sio haya mashirika yetu ya kiafrika.
 
Upo sahihi sn
 
mnadanganyana sana, aliyekwambia huko huwa hawafanyiziwi ni nani? sema inategemea adui yako ni nani, hao hao wazungu wanaweza kukukamata na kukurudisha huko ukapewa kichapo, uliza maadui wa rwanda waliokimbilia huko ulaya kilichowapata …
Wanasemaga Money speaks Every language 😳!
 
Duh!...
 
Kama ni mhalifu si anafikishwa mahakamani,?! Au siku hizi wahalifu wanatekwa?
 
mnadanganyana sana, aliyekwambia huko huwa hawafanyiziwi ni nani? sema inategemea adui yako ni nani, hao hao wazungu wanaweza kukukamata na kukurudisha huko ukapewa kichapo, uliza maadui wa rwanda waliokimbilia huko ulaya kilichowapata …
Huko mkakati pekee unaofanyika ni kuwatumia marafiki na ndugu kumshawishi anayetafutwa arudi nyumbani au mahali anapoweza kuchukuliwa kirahisi kama ilivyofanyika kwa Kassim Hanga, Paul Rusesabagina na wengineo.

Urusi ndio imeonyesha jeuri ya kuua wapinzani walioko Ulaya (kwa polonium na risasi) lakini kwa tabu sana.
 
Ila kiukweli Nyerere ndiyo alitupoteza, kila nchi iliyofuata Urusi au China ndiyo masikini taabani duniani. Angalia Ethiopia, Angola, Mozambique, Zimbabwe na sasa South Africa duuu. Angalia Ulaya Mashariki.

Akija Lisu tafadhali turudishe kwenye mstari, acha hawa waongo waende China na Urusi huko ndiyo kwao.
Tumeumizwa sana.
 
Unamjua PK ? alimkill target ndani ya U.S na mwengine S.A
Halafu sio kazi sana kama watu wanavochukulia kum eliminate target hata awe wapi , tena akiwa anaishi kwa kificho ndio rahisi akisha kuwa identified.
 
Hata YUEIHII sio, kiufupi nchi inayonufaika zaidi na serikali yako sio mzuri kwenda kuishi. Wanufuika hawana rangi wanakuchangea tu fasta.

Yaani unipe selous kwa miaka 99 kwa mkopo wa 20BN TZS alafu mtu anayekupinga aje kuishi mchini mwangu (huu ni mfano tu wasiojulikana pumzikeni,sikuhizi mnavuka boda, hongereni)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…