USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

Hahahahahaaaa,eti mkojo wa mbwa

Wanawake ni wafukunyuku,kuna mwanamke aliwah nichungulia matakoni wakati nimesinzia usiku na siku moja ananiambia nina alama za kulogwa matakoni
 
Kujichekesha na furaha ya Mwamba vimeishia hapa
 
kwa maelezo ni hivyo.. walinambia ukipga chanjo huwez kutana na hvy vinyama again ila n kwamb kirusi hakiwez kufa kitabaki ktk dam forever
Chanjo wanafanya wapi? Na je kama hujawahi kupata ugonjwa inasaidia kukukinga usipate?
 
Sio kweli.

Mkewe kama kapata chanjo, hawezi kupata huo ugonjwa.

Kingine hicho kirusi ni dhaifu mno, kinakushambulia ukiwa na kinga ndogo ya mwili.

Mostly, kinaweza kupotea mwilini baada ya miaka kadhaa.

Na kuna watu wengi tu wanapata na kupona kimya kimya kabla ya kupata dalili za mtoa maada, kama ilivo kua kwa COVID - 19
 
Nimecheka mkuu mleta mada ila pole sana.

Niliwahi kuwa na mdada mwenye hpv, nikampeleka hadi hospitali ila cha ajabu hakuwahi kuniambukiza na tulidumu miaka miwili-mitatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…