USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

Basi bwanaaa, me nikaendelea na maficho yangu ya siriii...
kumbe bwana yule mwanamke naye kashaamua kunikazia achunguze kwanini namzuia kuona andindo yangu??? Daaah sku moja akanivizia nikiwa nimelala kabsa then akaona alivyovionaa.... alichokifanya akasubiri mpaka asubuhi ifike. kweli mapema asubuhii tuu akaniulza kuhusu usiri wangu tunaposex.. na kwann napenda sana kutumia condom kwann yan??
me nikaendelea kujielezea vilevile bila kujua mwenzangu kashaona ninachokificha.
sasa akaja kunistua kwa kuniambia kwamba kweny uume wangu kuna masundosundoo!!
ayeehh i was shocked kaonajeeee???
ila nilichoshangaa zaid kajua mpaka jina ambalo me skuwa nalijua hata???
ikabidi sasa nianze tu kumuuliza ndo nini hivyo? akanielezea kama mtu ambae anavijua vizuri vile vinyama aseeeehh??? nilijikuta jinga kabisa kwann nilikuwa nafichaa???
ngoma ilifika hivi tazama picha
View attachment 3192517

View attachment 3192520



Akaanz kunielezea dawa za huko kwao kigomaa
Akaniambia nitumie utovu wa papai bichi kupaka kwenye vile vitunguu(warts)
akanambia na mavi ya kuku wa kienyeji
Akaniambia na kuvifunga uzi wa sindano then baada ya sku3 vitapotea

Oyaaa jinsi nilikuwa desperate na huu ugonjwa nadhani hata ningeambiwa mkojo wa mbwa ni dawa ningekunywa...
Nilifanya hivyo vyoteee na bado ngoma ikawa kam ndo inaanza aseh

Tena huo utovu ulichonifanyia hahahahhahahahahahah sitamani kabsa asehh

Nitaendelea
Hahahahahaaaa,eti mkojo wa mbwa

Wanawake ni wafukunyuku,kuna mwanamke aliwah nichungulia matakoni wakati nimesinzia usiku na siku moja ananiambia nina alama za kulogwa matakoni
 
genital warts uponi unambukiza tu wanawake hpv . na mwisho wa siku wanawake wa apata cancer ya kizazi.

mwanamke wakiwa na warts awaluhusiwi kuzaa kwa kawaida na mtoto ataambukizwa hpv.

Jamaa una generational condition. mke na watoto wapo kwa risk.

umetoka tu warts ujapoma. hpv ni kama ngoma.

it's over buddy acha kuusambaza
Kujichekesha na furaha ya Mwamba vimeishia hapa
 
kwa maelezo ni hivyo.. walinambia ukipga chanjo huwez kutana na hvy vinyama again ila n kwamb kirusi hakiwez kufa kitabaki ktk dam forever
Chanjo wanafanya wapi? Na je kama hujawahi kupata ugonjwa inasaidia kukukinga usipate?
 
Sio kweli.

Mkewe kama kapata chanjo, hawezi kupata huo ugonjwa.

Kingine hicho kirusi ni dhaifu mno, kinakushambulia ukiwa na kinga ndogo ya mwili.

Mostly, kinaweza kupotea mwilini baada ya miaka kadhaa.

Na kuna watu wengi tu wanapata na kupona kimya kimya kabla ya kupata dalili za mtoa maada, kama ilivo kua kwa COVID - 19
 
Nimecheka mkuu mleta mada ila pole sana.

Niliwahi kuwa na mdada mwenye hpv, nikampeleka hadi hospitali ila cha ajabu hakuwahi kuniambukiza na tulidumu miaka miwili-mitatu.
 
Back
Top Bottom