mkakaflani
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 702
- 2,716
Ukiachana na ugonjwa, kingine nilichogundua zerominus10 na Ntanatz ni Id's za mtu mmoja.
Povu ruksa na sitojibu......
Povu ruksa na sitojibu......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaaa,eti mkojo wa mbwaBasi bwanaaa, me nikaendelea na maficho yangu ya siriii...
kumbe bwana yule mwanamke naye kashaamua kunikazia achunguze kwanini namzuia kuona andindo yangu??? Daaah sku moja akanivizia nikiwa nimelala kabsa then akaona alivyovionaa.... alichokifanya akasubiri mpaka asubuhi ifike. kweli mapema asubuhii tuu akaniulza kuhusu usiri wangu tunaposex.. na kwann napenda sana kutumia condom kwann yan??
me nikaendelea kujielezea vilevile bila kujua mwenzangu kashaona ninachokificha.
sasa akaja kunistua kwa kuniambia kwamba kweny uume wangu kuna masundosundoo!!
ayeehh i was shocked kaonajeeee???
ila nilichoshangaa zaid kajua mpaka jina ambalo me skuwa nalijua hata???
ikabidi sasa nianze tu kumuuliza ndo nini hivyo? akanielezea kama mtu ambae anavijua vizuri vile vinyama aseeeehh??? nilijikuta jinga kabisa kwann nilikuwa nafichaa???
ngoma ilifika hivi tazama picha
View attachment 3192517
View attachment 3192520
Akaanz kunielezea dawa za huko kwao kigomaa
Akaniambia nitumie utovu wa papai bichi kupaka kwenye vile vitunguu(warts)
akanambia na mavi ya kuku wa kienyeji
Akaniambia na kuvifunga uzi wa sindano then baada ya sku3 vitapotea
Oyaaa jinsi nilikuwa desperate na huu ugonjwa nadhani hata ningeambiwa mkojo wa mbwa ni dawa ningekunywa...
Nilifanya hivyo vyoteee na bado ngoma ikawa kam ndo inaanza aseh
Tena huo utovu ulichonifanyia hahahahhahahahahahah sitamani kabsa asehh
Nitaendelea
Kwahyo unamtag huyo chogo aje kutaman mbol yenye misundosundo?
Nambieee Daddy
😂😂😂😂😂😂 ata kama napenda mbolo lakini sio kwa mbolo iyo ina masundo kama vichuguuKwahyo unamtag huyo chogo aje kutaman mbol yenye misundosundo?
Kujichekesha na furaha ya Mwamba vimeishia hapagenital warts uponi unambukiza tu wanawake hpv . na mwisho wa siku wanawake wa apata cancer ya kizazi.
mwanamke wakiwa na warts awaluhusiwi kuzaa kwa kawaida na mtoto ataambukizwa hpv.
Jamaa una generational condition. mke na watoto wapo kwa risk.
umetoka tu warts ujapoma. hpv ni kama ngoma.
it's over buddy acha kuusambaza
Chanjo wanafanya wapi? Na je kama hujawahi kupata ugonjwa inasaidia kukukinga usipate?kwa maelezo ni hivyo.. walinambia ukipga chanjo huwez kutana na hvy vinyama again ila n kwamb kirusi hakiwez kufa kitabaki ktk dam forever
Chanjo zinapatikana hospitali.Chanjo wanafanya wapi? Na je kama hujawahi kupata ugonjwa inasaidia kukukinga usipate?
Ndio.Hivi hadi usoni ni warts
ScabiesNdio.
Lakini sio genital warts kama za mtoa maada na huenda zikasababishwa na wadudu wengine
ScabiesWarts hata vidoleni hutokea
Sio vidoleni mpaka mkunduni hutokea sasa wale wanaojihisi wana bawasiri kumbe sio bawasiri ni wartsWarts hata vidoleni hutokea
Sijaelewa hapo naona makopakopa kibao sielewiNambieee Daddy
Hamna mkuu chogo nilipata notifications anakuja kwenye huu uziKwahyo unamtag huyo chogo aje kutaman mbol yenye misundosundo?
Bado unalima mashamba makubwa?Vizuri kwa kutoa elimu
Bado mkuuBado unalima mashamba makubwa?