USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

Ma'mdogo siyo shangazi bhana, mila za wapi hizo?

Halafu ukamuelewa kudadeki🤣🤣🤣, vijana wa siku hizi nyie!

Sisi zamani mbona tulikuwa hatufanyi mambo'ayo?
 
Oyaaa wakatiii nina furaha kupitilizaa kuonaa vidude vinakaukaaa.. nikawa najiongeza kuvikata na kucha vile vidude mana vilikuwa vigumu vyeusii baada ya kutumia ile dawa..
Nikawa navinyofoa alaf naweka yale mafutaa baada ya mda naweka ile cream kudadekiiiiiiii skumaliza wiki mbili kama mshkaji wanguu ngoma ikakaa sawa vidude vikapoteaaa kabisaaa kabisaa ile dawa ikabakiii ya kutosha hahahahahahahahhaha

Baada ya kupona ndo nikaja kumsanua yule jamaa kama na mm nilikuw mgonjwaa...


Baada ya kuponaa uume wangu
Picha hapo chinii



Oyaaa nilifurahiii sanaa kudadekiiiii

Sasa mtihani ulibaki hapaa.. vipi kuhusu yule dem? Basi me nikamsanua kama vile vidude vimepotea kabisa havipo kabisa yaaan hata alama tu ya warts haipooo... alishangaaa sanaaaa then akafurahi sanaa.. nikamwambia kabla ya kusex inabid tuende tukacheki kama una Virusi vya HPV na kam hauna basi upate kinga na mm nipate kinga maisha ya sex yarud kama kawaida.. kweli tukaenda kucheki, manzi matokeo yametoka yupo salama kabisa basi akapata chanjo na mm nkacheki bado virus ziko mwilin na nikaambiwa hizo zikifika haziondoki tena kweny damu so hazina madhara kam nitaimarisha tu kinga mwili.. aaah me nikaona poaaa tu ishu ni hivi vinyama bwanaa..
daaaaah yule demu hata kabla sjapiga c akafiwa bwana ikabidi aondoke kwao kigoma akazike daaah tangu kaondoka ajarud had leoo... na mm naogopa sana kupiga dem mwingne kwa kuhofia vidude vitarudi basi nikajikaza miezi ya mwanzo ile daaah sku nlvokuja kukamatia manzi niliosha kama akili sina but ni safe sex..

safari ilikuwa hivyo yaniii
Stage 1








Stage 2












Stage 3

Matibabu







Stage 4

Kuponaa uzimaaaa



Uzima raha wananguuuu

Naishukuru sana jamiii forums kwa kunisaidia kuipagana vita hiiii asehhh
SIKUSHAURI
kutokwenda hospital kama mimi..

Skwenda hospital kwasabb nilikuwa muoga wakuuu
namshukuru Mungu kwa kunionjesha ladha ya kuumwa na kuniponya maana hali ile ilinifanya nimkumbuke sana Sir God aseeh..

ugonjwa nimepona niko sawa kabisaa now..

Nimeshuhudia ili watu wajue kuwa Jamiiforums inaweza kuwa majibu ya maswali yako mengi magumu aseehh..

Nimemalizaa
 
Kwa nn inauma sana au?
 
Ma'mdogo siyo shangazi bhana, mila za wapi hizo?

Halafu ukamuelewa kudadeki🤣🤣🤣, vijana wa siku hizi nyie!

Sisi zamani mbona tulikuwa hatufanyi mambo'ayo?
Alikuja kuwa mshangaz kwa sababu hizi
Unajua mkuu mpka mtu kuitwa mshangazi lazima awe na T3
Tako,Tumbo na Titi

Vyote anavyo alafu kaenda hewani sema Shepu lake kuliona ngumu mana ni mtu wa majuba...

Sasa hvi sio vijana hata hao wazee ni hovyo hovyo mkuu kiufupi ecosystem ime be destroyed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…