Hahahahahahahaha kakaa aalikutesa sana, dawa nlopona nayo mm haiumi haileti hali yyt yaani coool tuHiyo dawa inawasha kwa mtindo wa kipekee i cant explain but ni hataree mkuu
Imagine with 30 min inawasha kiasi ambacho mwili unapanda joto mpka una sweat..
Ukitoka hapo mwili wote maji tuu yaan hapo kama ulipng kulala uwezi kulala
Hata mii nilipona na dawa ya kawaidaHahahahahahahaha kakaa aalikutesa sana, dawa nlopona nayo mm haiumi haileti hali yyt yaani coool tu
Ujapona unambukiza tu wanawake na kusababisha cancer za kooHata mii nilipona na dawa ya kawaida
Hyo iliyo nileteakasheshe ni ya humu jf kuna jamaa alikua anatoa ushuhuda
Nilipona mkuu tena baada ya hiyo dawa inaitwa scaboma chap tuu..Ujapona unambukiza tu wanawake na kusababisha cancer za koo
Wataalam wanasemaje hizo virus Kwa men hazina madhara lkn Kwa mwanamke unapo tembea nae Kuna uwezekano akapata kansa.Ujapona unambukiza tu wanawake na kusababisha cancer za koo
We jamaa jau sana ujuegenital warts uponi unambukiza tu wanawake hpv . na mwisho wa siku wanawake wa apata cancer ya kizazi.
mwanamke wakiwa na warts awaluhusiwi kuzaa kwa kawaida na mtoto ataambukizwa hpv.
Jamaa una generational condition. mke na watoto wapo kwa risk.
umetoka tu warts ujapoma. hpv ni kama ngoma.
it's over buddy acha kuusambaza
Ulibaini ni nani aliyekuambukiza huo UgonjwaHiyo dawa inawasha kwa mtindo wa kipekee i cant explain but ni hataree mkuu
Imagine with 30 min inawasha kiasi ambacho mwili unapanda joto mpka una sweat..
Ukitoka hapo mwili wote maji tuu yaan hapo kama ulipng kulala uwezi kulala
Huu ugonjwa kwanza ujue sio sexual transmitted diseases mkuu..Ulibaini ni nani aliyekuambukiza huo Ugonjwa
Acha uogaAlafu mtu aje aniambie nipige deki